Hahaaa huyo Chris brown amjulia wapi diamond, au ni kituo gani cha marekani kinapiga nyimbo za domo kusema Chris kamuona domo na kucopy, acheni mahaba Niue ya kimandazi, alafu acheni kumfananisha Chris na vitu vya kijinga
We nae hebu Kwendraaaa. Kwani lazima mtu ajulikane duniani au nyimbo zake zipigwe marekani ndo kazi yake iweze kuwa copied.? Mfyuuuuu. Incase you are forgetting hii ni 21st century and nothing has took over kama social medias sio tu chris brown peke yake hata team yake nzima inayomsaidia kwenye kazi zake ambayo haijulikan na mtu yoyote pia imesambaa kwenye social medias. It's highly possible kuwa wameona popote pale kazi ya diamond na wakapenda the idea. Kwa taarifa yako mzungu hawezi toa idea kwa kutizama kwao huko pekee huwa wana widen their minds na popote atakopoona kitu kitakacho mu inspire ana create idea or they copy. Sema tu ndo hivyo few of them huwa wana acknowledge wengi wanatunga uongo. Msikremishe