Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
kwani huna ratba? fuata ratba ya shule kk/dd chuo co prmary wl sec xo think b4 u reap, hv a nc studiesInakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
kwani huna ratba? fuata ratba ya shule kk/dd chuo co prmary wl sec xo think b4 u reap, hv a nc studies
unaonekana unawashwa. we mtt co rizkSasa hapo ndo umeandika nini!?, kajifunze kuandika!!
Umempa ushauri mzuri nadhani ataufanyia kazi.Mdogo wangu chuoni sio kama secondary ni CHUONI,its a place for the matured people to get wht they want academically,Ivi ndivyo vya msingi kwako we jua ratiba ya course zako na syllabus then anza kuhudhuria accordingly. Usifate maneno maneno ya watu maana wengine watakushangaa sababu wamesoma hapo hapo na sasa wapo makazini maisha yanaendelea.
Hope nimekusaidia!!masomo mema.
Zama zipo ambazo ulikuwepo kulikuwa na makundi? Achana na maneno wewe komaa na chuo.Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
ni wababaishaji sana. Mwaka huu hakuna social security course. Eti wamepokea ada zote na kusajili mpaka siku ya mwisho halafu siku ya kuingia darasani wanasema course ya social security mwaka huu hakuna enrolment hivyo walioomba wamehamishiwa kusoma insuarance ambayo hawakuiomba.. Wakati watoto wameshafanya kila kitu na orientation imeisha. Wizi huu.
kweli hii ni taasisi kama uamsho! ! , average 40%, wangepandishiwa 50%
acha kuongea pumba wewe hiyo siyo diploma uliza vyuo vingine kabla hujaropoka humu wewe kwenu average ngapi usikute ndo wale ustawi..............................!kweli hii ni taasisi kama uamsho! ! , average 40%, wangepandishiwa 50%
acha kuongea pumba wewe hiyo siyo diploma uliza vyuo vingine kabla hujaropoka humu wewe kwenu average ngapi usikute ndo wale ustawi..............................!
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?