Ni kweli chuo cha IFM sio makini

Ni kweli chuo cha IFM sio makini

igulwibi

Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
56
Reaction score
9
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
 
huo ni utaratibu wa tz pekee,Unauliza wa wapi wkt umeuona IFM!!!!!!!Hakuna taifa lenye maajabu km ili unaloishi
 
Hata mungu anamsaidia anyejisaidia! Tutafika kweli huko tunakotaka kufika kama kila mtu hatatimiza wajibu wake? Mungu mrudishe moringe sokoine
 
Ni wababaishaji sana. Mwaka huu hakuna Social Security course. Eti wamepokea Ada zote na kusajili mpaka siku ya mwisho halafu siku ya kuingia darasani wanasema course ya social security mwaka huu hakuna enrolment hivyo walioomba wamehamishiwa kusoma insuarance ambayo hawakuiomba.. wakati watoto wameshafanya kila kitu na orientation imeisha. wizi huu.
 
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?

Tulia mbona haraka hivo ndo kwanza mna wiki mbili ushaanza kupaniki utamaliza kweli? wanasubir wote mfike ndo wawapange kwenye streams na groups ila for now zamia darasa lolote inachuguaga kama wiki 2 au 3 usilaumu chuo laumu wanafunzi wenzako wanaochelewa btw ndo maana utakua unasoma certificate obviously ulikamatwa na mlugo ndo maana washi.dwa kufikili
 
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?

Mdogo wangu chuoni sio kama secondary ni CHUONI,its a place for the matured people to get wht they want academically,Ivi ndivyo vya msingi kwako we jua ratiba ya course zako na syllabus then anza kuhudhuria accordingly. Usifate maneno maneno ya watu maana wengine watakushangaa sababu wamesoma hapo hapo na sasa wapo makazini maisha yanaendelea.

Hope nimekusaidia!!masomo mema.
 
Siku hizi hamna elimu mkuu. Kuna hela tu. Elimu biashara tu kama machinga anayeuza nguo pale Karume au mchina anayechoma mahindi pale Buguruni. Yote kheri tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
kwani huna ratba? fuata ratba ya shule kk/dd chuo co prmary wl sec xo think b4 u reap, hv a nc studies
 
utawajua tu...sasa usiombe ukutanenae maeneo ya Airport mwondoko kama anachukua Masters,maeneo yao ni facebook na vibwetan ila kupunguza fujo wote tumewapeleka upanga..we dogo kua mpole..mambo ndo kwaanza
 
Mdogo wangu chuoni sio kama secondary ni CHUONI,its a place for the matured people to get wht they want academically,Ivi ndivyo vya msingi kwako we jua ratiba ya course zako na syllabus then anza kuhudhuria accordingly. Usifate maneno maneno ya watu maana wengine watakushangaa sababu wamesoma hapo hapo na sasa wapo makazini maisha yanaendelea.

Hope nimekusaidia!!masomo mema.
Umempa ushauri mzuri nadhani ataufanyia kazi.
 
Inakuwaje chuo kinafunguliwa wanafunzi hawajapangwa kwenye makundi(groups) walimu wanaanza kufundisha! Huu ni utaratibu wa wapi zama hizi?
Zama zipo ambazo ulikuwepo kulikuwa na makundi? Achana na maneno wewe komaa na chuo.
 
ni wababaishaji sana. Mwaka huu hakuna social security course. Eti wamepokea ada zote na kusajili mpaka siku ya mwisho halafu siku ya kuingia darasani wanasema course ya social security mwaka huu hakuna enrolment hivyo walioomba wamehamishiwa kusoma insuarance ambayo hawakuiomba.. Wakati watoto wameshafanya kila kitu na orientation imeisha. Wizi huu.

kweli hii ni taasisi kama uamsho! ! , average 40%, wangepandishiwa 50%
 
kweli hii ni taasisi kama uamsho! ! , average 40%, wangepandishiwa 50%
acha kuongea pumba wewe hiyo siyo diploma uliza vyuo vingine kabla hujaropoka humu wewe kwenu average ngapi usikute ndo wale ustawi..............................!
 
acha kuongea pumba wewe hiyo siyo diploma uliza vyuo vingine kabla hujaropoka humu wewe kwenu average ngapi usikute ndo wale ustawi..............................!

HUJielewi wewee kama shule ni rahisi(40%) tusiseme?? Kozi yenyewe ya kidada
 
Back
Top Bottom