Ni kweli Diamond hana jipya?

Me zangu zinachezwa na radio maria.

Hivi ile nyimbo ya simba na mafilizulu iliishia wapi sababu niliisikia kama mara tatu tu ikapotea. Am serious no jealous.


bado ni hitsong mkuu kama unafatilia media zetu za kibongo hata kenya hua wanaipiga sana tu.
 
Tuwe watu wa tafakuri kidogo. ....jiulize una bei gani kibindoni kuzidi Diamond? Umaarufu je? Vitegauchumi je exposure je? Nk nk!
Kuna wakati huwa tunaandika hivi vitu lakini tukilinganisha na hao tunaowaandika na kuwasema vibaya hatuwafikii hata theluthi moja
 
Na bado utanyooka tu

Bora umkopi maarifa yake, nawe upae
 
Saa ingine mpost vitu vya msingi
 
Nani alie shuka Diamond Bar? Au Diamond Platnumz msanii wa Kimataifa?

Wivu tuuu umekujaa akati kwenu hata kwaya hamuwezi kuimba
 
Acheni utani kidogo+watora mari+waache waoane alafu unasemaje weye kijana ebu pumzika kidogo maana unapressure kidogo na beats za kidogo angalia usije ukawa mdogo maana kwa mondi hakuna kidogo yeye wakimataifa
 
Ww mwenye jipya unapesa y kumzidi yy? Tafakari sana.
 
Ataishia kupendwa na wakenya wasiojua burudan wao mpska mashair ya kumtongoza mwanamke ka nyimbo za kuwashtua maadui vitani wachomoke nduki
Unamaanisha KENYA nchi au upo mtaa unaitwa KENYA?
Nchini Kenya kutongoza kwa kiswahili ni ushamba, wanatumia kingereza.
Labda bongo kuna kijiji kinaitwa Kenya. Fafanua.
 
aje ipo ndani ya music apps za streaming zaid ya 700 dunian asa nani anatengeneza mkwanja mwing zaid
Nitajie hizo App kumi tu kama unasema ukweli. umishindwa kaa kimya kuonesha heshima kwa diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…