Ni kweli Diamond hana jipya?

Hizi taarifa ni za ukweli? Kuwa jamaa anatoa new single na Chriss Brown?
 
Hilo neno mkuu, binafsi sioni cha zaidi anachoimba diamond, labda dance tu,
 
Hana jipya mtaani kwenu coz he is not your level
Kwahiyo ww ukisikiliza nyimbo za kina Chris,Drake , rihanna n.k ni level zako? Acha kukurupuka jipange vizuri sio unatokwa povu
 
Me zangu zinachezwa na radio maria.

Hivi ile nyimbo ya simba na mafilizulu iliishia wapi sababu niliisikia kama mara tatu tu ikapotea. Am serious no jealous.
Umesagau na ile ya papaa wemba
 
Diamond anachojali yeye ni pesa...hata kesho akiimba kikubwa kikubwa na akarusha miguu na kubinua kiuno ili mradi apate shows kibao.. Ni sawa na juma Nature rap katuni hakuna kulala vs fid q mistari ya kufikiria sana....August 13
 
Unamaanisha KENYA nchi au upo mtaa unaitwa KENYA?
Nchini Kenya kutongoza kwa kiswahili ni ushamba, wanatumia kingereza.
Labda bongo kuna kijiji kinaitwa Kenya. Fafanua.
Unamaanisha KENYA nchi au upo mtaa unaitwa KENYA?
Nchini Kenya kutongoza kwa kiswahili ni ushamba, wanatumia kingereza.
Labda bongo kuna kijiji kinaitwa Kenya. Fafanua.
jaribu kuelewa sijadili huu uzi na wakenya najadili na watz wanaoeleww kiswahili cha tz
 
jaribu kuelewa sijadili huu uzi na wakenya najadili na watz wanaoeleww kiswahili cha tz
Fortunately, mie ni mwenyeji wa nchi hizi mbili na nyingine nyingi. Kama sasa hivi nipo Denmark. Ila ninachokuomba, siku nyingine usikurupuke kusema ya jirani yako wakati hata gate yake huijui inafunguliwa vipi. Achana na mambo ya kusikia, thibitisha.
 
Mwenzao nyimbo zake duniani huko bbc wanacheza huyu mwingine bado anashangilia kupigwa sibuka fm na jembe fm
Nilishasema apunguze macolabo ameshamaliza wanaija wote wakubwa ataanza kuwatafuta watoto wakina kiss Daniel. Tecno nk
 
Muda ndio msema kweli...ila hatodharirika...kama kina flani ambao walitamba sana kimuziki lakini hawakuwa na mipango ya baadae......kwa ajiri ya ustawi wa maisha yao....... sijari sana kila mwanzo una mwisho wake broh.....
 
Ukweli usiojificha Daimond yupo vizuri sana. Hata hii ngoma mpya kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…