Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo akiikubali wizkid ndo wote tuikubali, damn!Kamuulize wizkid atakwambia jamaa maana wanakula sahani moja anavyosahalikaView attachment 382986
Aje na familia yake, asije peke yake[emoji3] [emoji3]kila beats yake inatarumbeta unategemea nn ? mwambieni aje asiogope
Mapovu vepeee, ukweli unaumaMwenzao nyimbo zake duniani huko bbc wanacheza huyu mwingine bado anashangilia kupigwa sibuka fm na jembe fm
Duniani!!!??????Usimwite bwana mdogo wakati mwenzako ana maisha yake level kubwa na kashajitengenezea jina duniani tofauti na wewe unayetafuta umaarufu huku JF
Hilo neno mkuu, binafsi sioni cha zaidi anachoimba diamond, labda dance tu,MAONI? Kwa lipi haswa?
Diamond ni msanii, mafans ndio umshusha na kumpandisha msanii.
Kama mafans wanampenda hata asipotoa hit bado watampenda.
Ina maana wimbo wa 'kidogo' ni mzuri kushinda 'ibaki stori'?
Binafsi sidhani. Ni vile tu Mond anapendwa na mafans wengi.
Umenielewa lakini?
Kwahiyo ww ukisikiliza nyimbo za kina Chris,Drake , rihanna n.k ni level zako? Acha kukurupuka jipange vizuri sio unatokwa povuHana jipya mtaani kwenu coz he is not your level
Umesagau na ile ya papaa wembaMe zangu zinachezwa na radio maria.
Hivi ile nyimbo ya simba na mafilizulu iliishia wapi sababu niliisikia kama mara tatu tu ikapotea. Am serious no jealous.
Unamaanisha KENYA nchi au upo mtaa unaitwa KENYA?
Nchini Kenya kutongoza kwa kiswahili ni ushamba, wanatumia kingereza.
Labda bongo kuna kijiji kinaitwa Kenya. Fafanua.
jaribu kuelewa sijadili huu uzi na wakenya najadili na watz wanaoeleww kiswahili cha tzUnamaanisha KENYA nchi au upo mtaa unaitwa KENYA?
Nchini Kenya kutongoza kwa kiswahili ni ushamba, wanatumia kingereza.
Labda bongo kuna kijiji kinaitwa Kenya. Fafanua.
Fortunately, mie ni mwenyeji wa nchi hizi mbili na nyingine nyingi. Kama sasa hivi nipo Denmark. Ila ninachokuomba, siku nyingine usikurupuke kusema ya jirani yako wakati hata gate yake huijui inafunguliwa vipi. Achana na mambo ya kusikia, thibitisha.jaribu kuelewa sijadili huu uzi na wakenya najadili na watz wanaoeleww kiswahili cha tz
Nilishasema apunguze macolabo ameshamaliza wanaija wote wakubwa ataanza kuwatafuta watoto wakina kiss Daniel. Tecno nkMwenzao nyimbo zake duniani huko bbc wanacheza huyu mwingine bado anashangilia kupigwa sibuka fm na jembe fm