Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Hiyo nguvu unayotumia kumuombea diamond si ujiombee mwenyew mambo yako ya nyooke
Yangu yalishanyooka kitambo mno. Nilipambana Ila bahati nzuri sikukutana na kikwazo kama cha huyo mla unga Mond. Nimeshatoboa mkuu.
 
Kwani muandiko mzuri unaliwa? Kama muandiko mzuri ungekuwa dili graduates wasingesaga soli kitaa na vyeti vyao...
Jibu murua kabisa mkuu. Kijana katoka Umakondeni na Elimu ndogo na ametoboa. Na akaingiza mpango wa KUJIFUNZA Kiingereza na soon atatoboa vizuri mno. Kwa level ya English aliyofikia wapo wa form 4 au F6 au Chuo hawezi kuongea. Wamejua kukariri mitihaani tu wafaulu. Si tunaona application zao za KAZI? Akifika kwenye interview mnajiuliza mara 2 kama alisomaje na transcript inasoma A,B,na C. Kumbe alikariri madesa tu.
 
Stress kimebeba gunia zima,ndio ulivyo huku hana kazi zaidi ya kufuatilia ya watu
 
Sasa hapo anamfokea vipi mtu aliyemzidi maisha kwa gap kubwa, ana mafanikio makubwa ya Mziki, ana muda mrefu kwenye game na still mpaka now yupo juu mwisho kabisa kafundishwa kimziki na katolewa kimziki na huyo huyo
Huyo Kupe mwenye wivu akiona msanii mzuri kumshinda yeye lazima amfanyie fitna?
 
Mtu akunyonye 600m akaona hujafa. Akaamua akuweke chawa wa kukutafuna na yeye kutumia mafumbo. Huwezi kukaa kimya na ukweli alisema. He deserves a credit for that #Harmonize. Tumeujua ukweli.
 
Well said
 
Harmonize yupo sahihi kabisa....Diamond anayo pes ila tabia zake ni kama Mo tu maneno meengi ya kwenye kanga

Harmonize yupo sahihi kabisa....Diamond anayo pes ila tabia zake ni kama Mo tu maneno meengi ya kwenye kanga
Sure mkuu. Mswahili haswa. Mtu mlishaachana na akakulipa 600m inakuwaje kumfuatafuata kwa mafumbo na Chawa cheap wa Tecno na bando.
 
N
Nimeshangaa sana ila lisemwalo lipo hata enzi zile miaka ya 2007 wakati kalapina anaimba Hiphop bila madawa halafu kwenye video wanaonyesha mabango yenye majina ya Ngwair,Ray C ,Lord Eyes wengi tuliona kama wanapakaziwa ila Wote gari zikaja kuwaka.
Mkuu gari ya Mond itawaka vibaya mno yaani full light kabisa. MLA Cocaine Yule.
 
Umeona vizuri. Ila issue ya Konde na Mond ni uadui mkubwa Sana. Na Mond hataki Amani. Kondeboy alijitajidi mno Suluhu ikashindikana. Diamond ana kiburi cha mafanikio. Iko wazi Sana hiyo. Ngoja tusubiri chawa wake wapeweTecno na bando waje hapa kusafisha Hali ya hewa. Ila ndiyo tayari iko masikioni mwa wengi kuwa Diamond hafai. Hana tofauti na alivyokuwa anailaumu Clouds na Marehemu Ruge.
 
Wewe mtu anayetumia ngada humjui hata kwa kumuona? Wewe ukimuangalia Diamond huoni kabisa kuwa anatumia mihadarati???
Anaweza astumie lakin akawa muuzaji. Kama hutaelewa niulize swali nifafanue
 
Mungu sio jirani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…