Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Mimi hakuna mahali katika statement yangu nimesema kuwa anatumia, no ila nimekujibu kulingana na wewe ulivosema ananunua kwa pesa yake means unahalalisha icho kitu ndio nikauliza kwa vile ananunua kwa pesa yake hivyo ni halali yeye kutumia?
 
Mtanange bado unaendelea. Je anatumia hatumii?
 
Atakuwa anatumia unga wa matajiri ( cocaine), lakin inabidi achunge Sana, kama ameanza unga, heroin haipo mbali. Na akifika huko amekwisha!!!
 
Kumbe unga wa matajiri ndo cocaine na hawa wa stand za daladala ndo wanabwia heroine?
Ndio mkuu, Cocaine haina madhara makubwa ya haraka kama heroin. Matajiri wengi wanakula ile, kina Manji nk..Heroin inachanganywa na takataka nyingi sana. Na unakuwa addicted kweli kweli. Ndo hawa wa stand
 
Mimi hakuna mahali katika statement yangu nimesema kuwa anatumia, no ila nimekujibu kulingana na wewe ulivosema ananunua kwa pesa yake means unahalalisha icho kitu ndio nikauliza kwa vile ananunua kwa pesa yake hivyo ni halali yeye kutumia?
Ni halali mkuu mi naona ni poa tu as long as hatumuoni wala hakuna ushahidi wa kua anatumia hayo madude, kwa maana hiyo kwake hayamuaffect acha atumie.
 
Ni halali mkuu mi naona ni poa tu as long as hatumuoni wala hakuna ushahidi wa kua anatumia hayo madude, kwa maana hiyo kwake hayamuaffect acha atumie.
Duh.. chief ushawai kukaa karibu na mrahibu wa dawa kulevya? Kumsogelea au kuuguza? Sali sana na hii kauli futa kabisa chief..
 
Duh.. chief ushawai kukaa karibu na mrahibu wa dawa kulevya? Kumsogelea au kuuguza? Sali sana na hii kauli futa kabisa chief..
Achana na hofu za namna hiyo wewe, kwahiyo hayo maneno yatamleta mraibu wa unga wa karihu yangu ama. Hiyo imani tu ndgu yangu kama ipo ipo tuu.
 
Kwa sisi wazoefu, ukimtazana Diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.

Ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.

Vile naumia kusoma hiz habari dah!!
Isiwe kweli yarrabi.
πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ™
 
Ila wasafi hawajawahi kukanusha kwamba walilipwa hela na Harmonize japo ni hasimu wao.
 
Picha za Naseeb siku hizi sizielewi.

Something is missing, he is not himself.
Jesus, isiwe kuwa ni kweli.
I love the boy
Dah!!
 
Protein powder ina madhara kwa mwili,ni bora aache kutumia, ndio chanzo kikubwa cha vifo vya wacheza mieleka na wabeba vyuma huko majuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…