Naomba kuuliza hawa wasanii wetu haya tunayoyaongeleaga humu yana uhalisia ama ni dhahani.
Nilipigwa na butwaa kuja kuona harmo ile gar ya aud 4 alipost na kusema yake, wakat ameachwa na sarah tukaona gari linaombwa.
Nikawaza msanii anaejiita mkubwa anashindwa kumiliki Aud 4 ya milion 20,
Basi niishie kusema tu hata hizo milion 600 usikute ni maneno tu ya media, lakini naamin wasanii wetu wanaishi maisha ya kipato cha chini sana.
[emoji3] ebitoke aliwah kusema nipost gar langu, kisha akala kona! Nikajua huyu itakuwa gar hana ama analo la kawaida tofaut na sifa anazotaka jamii imchukulie