Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Sista unga hauna quality. Wamekufa mastaa wakubwa kina W. Huston.
 
Nimecheka sana kwenye unga msafi wa mataita😂😂😂 dah kumbe huu wa kibongo ni pumba za unga au makombo ndio maana wadau wanakazi moja kusafisha jiji lisiwe na makopo
 
Sijaona kitu kinachofanya niamini mondi anatumia unga, mondi ni Kati ya msanii mwenye hard work kubwa ukiangalia show zake anapiga masaa 4 sometimes mpaka 5 bila kupumzika kesho utakuta ana show tena na akafanya akitoka hapo anarudi kwenye media tena hapati muda wa kupumzika Mara nyingi so why unakuta anapata uchovu
 
Logically ni rahisi mtu kutumia madawa ya kukevya ilhali wote tunajua kuwa yanadhoofisha mwili na akili. Yaani Diamond atumie madawa ya kulevya lakini bado kibiashara na muziki akuwe lakini wasio tumia ndio washindwe kukua?

Diamond ni mwanamuziki,dancer, mfanyabiashara (mkurugenzi wa makampuni) na pia hakuumbwa kuwa na mwili mnene ukimcheki ukuwaji wake wa kimwili, nusu ya maisha yake ameyatumia kwenye stage kucheza na kuimba, kusafiri mara kwa mara na kusimamia kampuni zake (ana watu zaidi ya 100 anaowalipa mishahara) huo ubongo na mwili unavyochoka bado tu tunategemea Diamond anenepe kama harmonize?

Kuna mtu kasema "DADA MANGE AMETHIBITISHA" hakika watu wa design hii hawanaga akili kabisa na ndio hao wanao lipa bukubuku za app, sasa Mange anaishi na Diamond?
 
Hapa duniani hakuna kitu kibaya na chenye nuksi kama kumkataa baba yako au Mlezi wako, tena in public, hata uwe bilionea namba moja Africa.
Acha nongwa ndugu, watu kibao tu maarufu wamewakataa wazaz wao na bado wanatusua tu. Diamond kuhusu mahusiano na mlezi wake yy ndiye anayajua aliyopitia. Van dijk wa Liverpool kamkataa baba yake mzazi hadi kwenye jezi ana andika jina lake na sio la baba yake. Mchezaji wa man city aliwahi kumkana mama yake mzazi in public hadi leo na hatoi ata Mia kwa mama. Kama hawakukusaidia kwenye hustles zako basi wasile jasho lako
 
Kuna kipindi alikua anahali kama ya kushtuka shtuka hivi kuna video fulani ilikua mitandaoni
Dada ata ww kuna hali inaweza kukutokea katika mazingira fulani na walimwengu wakaunganisha chuki zao na kuamua kukuchafua. Mfano unaweza kujikuta ume tabasamu tu mwenyewe baada ya kukumbuka jambo ila mpita njia akakuona kwa vile hakupend akisema unaugua ukichaa utafanyaje? Mange hampend Diamond kwa vile vicenza vyake vilishindwa kuolewa naye so anatumia kila silaha kumchafua Diamond
 
Tena wajinga ni wengi utawasikia "DAA MANGE KASEMA"
 
Ni kweli anatumia
Muda utaongea👌
Punguza kuandika parandesi
Kwani anakulipa au mlamba makalio yake👌👌🤣
 
Ni kweli anatumia
Muda utaongea👌
Punguza kuandika parandesi
Kwani anakulipa au mlamba makalio yake👌👌🤣
Sio kila unayo yafanya ww na wengine ufanya, ww ukilamba makalio ya watu inatosha. Maskini huwa mnadhani kumchafua mtu aliyekuzidi huwa inamshusha na kuwafanya muwe sawa ila endelea kuridhisha nafsi yako kwa ujinga wako
 
Diamond ni kweli anatumia unga. Alikuwa anatumia grade one alidanganywa kuwa haina madhara. Matokeo yake. mieazi ya hivi karibuni Hali ni Tete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…