Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kama haileti furaha, ufukara una kuletea nini, 🤔Unadhani pesa ina leta furaha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haileti furaha, ufukara una kuletea nini, 🤔Unadhani pesa ina leta furaha?
Sista unga hauna quality. Wamekufa mastaa wakubwa kina W. Huston.Sijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
Sina huo muda mm social interaction app nilizo nazo kweny sim yang ni JF na whatsapp tuIla habari za udaku tunazipataga wapi?? Au ww huwa hufatilii mkuu...
Sijui unaleta nini🤷🏼♀️Kama haileti furaha, ufukara una kuletea nini, 🤔
Sileti kitu, 😁Sijui unaleta nini🤷🏼♀️
Lete ushahidi wa unachoongeaKwa sasa ndo tumepata uhakika kumbe analetewaga na Gigy...
Nimecheka sana kwenye unga msafi wa mataita😂😂😂 dah kumbe huu wa kibongo ni pumba za unga au makombo ndio maana wadau wanakazi moja kusafisha jiji lisiwe na makopoSijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
Sijaona kitu kinachofanya niamini mondi anatumia unga, mondi ni Kati ya msanii mwenye hard work kubwa ukiangalia show zake anapiga masaa 4 sometimes mpaka 5 bila kupumzika kesho utakuta ana show tena na akafanya akitoka hapo anarudi kwenye media tena hapati muda wa kupumzika Mara nyingi so why unakuta anapata uchovuSijui mkuu...hii ni kwa mujibu wa Mange kimambi kuwa Dai anabwia unga na anaempelekeaga ni Gigy..si unamjua yule dada hajawahi kuongea famba? Lazima kapitishiwa ubuyu na watu wanaomzunguka huyo huyo Mond...sema labda anakula unga msafi wa mataita..ambao haumchoshi..
Meno kama mahindi ya ifakaraSileti kitu, 😁
Wakishalewa, wanaanza kufir....Kwa sasa ndo tumepata uhakika kumbe analetewaga na Gigy...
Bichwa Kama boga la kiangazi😂😁Meno kama mahindi ya ifakara
Kama mimi tu😅Sina huo muda mm social interaction app nilizo nazo kweny sim yang ni JF na whatsapp tu
Acha nongwa ndugu, watu kibao tu maarufu wamewakataa wazaz wao na bado wanatusua tu. Diamond kuhusu mahusiano na mlezi wake yy ndiye anayajua aliyopitia. Van dijk wa Liverpool kamkataa baba yake mzazi hadi kwenye jezi ana andika jina lake na sio la baba yake. Mchezaji wa man city aliwahi kumkana mama yake mzazi in public hadi leo na hatoi ata Mia kwa mama. Kama hawakukusaidia kwenye hustles zako basi wasile jasho lakoHapa duniani hakuna kitu kibaya na chenye nuksi kama kumkataa baba yako au Mlezi wako, tena in public, hata uwe bilionea namba moja Africa.
Dada ata ww kuna hali inaweza kukutokea katika mazingira fulani na walimwengu wakaunganisha chuki zao na kuamua kukuchafua. Mfano unaweza kujikuta ume tabasamu tu mwenyewe baada ya kukumbuka jambo ila mpita njia akakuona kwa vile hakupend akisema unaugua ukichaa utafanyaje? Mange hampend Diamond kwa vile vicenza vyake vilishindwa kuolewa naye so anatumia kila silaha kumchafua DiamondKuna kipindi alikua anahali kama ya kushtuka shtuka hivi kuna video fulani ilikua mitandaoni
Tena wajinga ni wengi utawasikia "DAA MANGE KASEMA"Shida ya wabongo wengi ni source ya habari zao, eti Mange Kathibitisha hahaha na kwamba kwa akili yako ya kawaida Diamond na Mange wanaweza wakakaa meza moja na kuzungumza Amani?
Niliacha kuwa mpumbavu kwa kuacha kufuatilia Mange Kimambi anasema nini?
Halafu msisahau Diamond hakuna vita ashawahi kupoteza tangu anaanza mziki wake baada ya kila media kuacha kusuport kazi zake na leo hii yupo wapi?
Na Mange alivyo mjanja anazidi kula pesa za wapumbavu, na wala hawezi kuacha kusuport upumbavu wa aina hiyo ktk app yake coz anawajua wabongo walivyo
Ni kweli anatumiaLogically ni rahisi mtu kutumia madawa ya kukevya ilhali wote tunajua kuwa yanadhoofisha mwili na akili. Yaani Diamond atumie madawa ya kulevya lakini bado kibiashara na muziki akuwe lakini wasio tumia ndio washindwe kukua?
Diamond ni mwanamuziki,dancer, mfanyabiashara (mkurugenzi wa makampuni) na pia hakuumbwa kuwa na mwili mnene ukimcheki ukuwaji wake wa kimwili, nusu ya maisha yake ameyatumia kwenye stage kucheza na kuimba, kusafiri mara kwa mara na kusimamia kampuni zake (ana watu zaidi ya 100 anaowalipa mishahara) huo ubongo na mwili unavyochoka bado tu tunategemea Diamond anenepe kama harmonize?
Kuna mtu kasema "DADA MANGE AMETHIBITISHA" hakika watu wa design hii hawanaga akili kabisa na ndio hao wanao lipa bukubuku za app, sasa Mange anaishi na Diamond?
Muda utasema mkuu. Usijichoshe kutetea.Tena wajinga ni wengi utawasikia "DAA MANGE KASEMA"
Sio kila unayo yafanya ww na wengine ufanya, ww ukilamba makalio ya watu inatosha. Maskini huwa mnadhani kumchafua mtu aliyekuzidi huwa inamshusha na kuwafanya muwe sawa ila endelea kuridhisha nafsi yako kwa ujinga wakoNi kweli anatumia
Muda utaongea👌
Punguza kuandika parandesi
Kwani anakulipa au mlamba makalio yake👌👌🤣