Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama diamond angekuwa anatumia madawa asingekuwa na uwezo wa kuperform masaa mengi jukwaani juzi tu hapa kuperform masaa ma4 kesho yake kaenda Rwanda tena kufanya show, anafanya vitu vingi kwa muda mmoja atadeal na mziki tena atadeal na media yake Ndio Maana unakuta anapata uchovu cos anakosa muda mwingi wa kupumzika sasa nyinyi mnamsikiliza Mange bila vitu vingine kujiongeza Yule ni mfanyabiashara anapata hela kupitia buku buku zenuNi mm wala usijali..mm ndo nimeitoa kwa Mange...na niwe muwazi tuu page ya Mange naipitia kila niwapo na bando..kuna ishu anazitoa na zinasaidia kuanzia siasa n.k japo na yy kama binadamu ana mapungufu yake kibaaoooo kama mm na wewe...kikubwa tumuombee Dimond iwe ni hearsay tuu isiwe kweli...
Ktk kitu sikiwazi wal kuja kufanya ni kuingia huko kwny App yake anakopost upuuzi 24/7..mm naishia kwny page ya inst..Kama diamond angekuwa anatumia madawa asingekuwa na uwezo wa kuperform masaa mengi jukwaani juzi tu hapa kuperform masaa ma4 kesho yake kaenda Rwanda tena kufanya show, anafanya vitu vingi kwa muda mmoja atadeal na mziki tena atadeal na media yake Ndio Maana unakuta anapata uchovu cos anakosa muda mwingi wa kupumzika sasa nyinyi mnamsikiliza Mange bila vitu vingine kujiongeza Yule ni mfanyabiashara anapata hela kupitia buku buku zenu
Duu,Daimond sura yake inaonesha anatumia na ni mtu mwenye Stress mno.
Ie. Rose muhando case..Kama diamond angekuwa anatumia madawa asingekuwa na uwezo wa kuperform masaa mengi jukwaani juzi tu hapa kuperform masaa ma4 kesho yake kaenda Rwanda tena kufanya show, anafanya vitu vingi kwa muda mmoja atadeal na mziki tena atadeal na media yake Ndio Maana unakuta anapata uchovu cos anakosa muda mwingi wa kupumzika sasa nyinyi mnamsikiliza Mange bila vitu vingine kujiongeza Yule ni mfanyabiashara anapata hela kupitia buku buku zenu
Rose muhando alifanya nini?Ie. Rose muhando case..
Bro unamkubali sana Diamond 😁😁Kama diamond angekuwa anatumia madawa asingekuwa na uwezo wa kuperform masaa mengi jukwaani juzi tu hapa kuperform masaa ma4 kesho yake kaenda Rwanda tena kufanya show, anafanya vitu vingi kwa muda mmoja atadeal na mziki tena atadeal na media yake Ndio Maana unakuta anapata uchovu cos anakosa muda mwingi wa kupumzika sasa nyinyi mnamsikiliza Mange bila vitu vingine kujiongeza Yule ni mfanyabiashara anapata hela kupitia buku buku zenu
Hujui mkuuRose muhando alifanya nini?
Sema hamtoi sababu za wazi kujustify hoja zenu ni kama yale ya ommy dimpoz unamwita mtu shoga alafu huna ushahidiBro unamkubali sana Diamond 😁😁
Kuna watu kama Whitney Houston na mume wake Bobby Brown ambao walikuwa ni best peformers duniani na bado walikuwa wanakula dawa,
Uliyoyasema hayahusiani
Kaka sijamtuhumu mtu Ila nilikuwa nasema tu usidhani watu wanaokula dawa wote ni legelege unless wawe na alostoSema hamtoi sababu za wazi kujustify hoja zenu ni kama yale ya ommy dimpoz unamwita mtu shoga alafu huna ushahidi
Daimond sura yake inaonesha anatumia na ni mtu mwenye Stress mno
Duu,
Kuna kazi Fulani Fulani ya halali niliwai kuifanya in my life time..
Nilikua naandaa off roster na mambo mengi kiutawala..
Nilikaa huko miaka m3 mambo ya parede za asbh na jion narud kwenye topic
Asikwambie mtu nili develop uwezo mkubwa sana wa kugundua mtu akiwa ametumia kilevi chochote pombe,Bangi,Madawa, ugoro ,pariki mm ukitumia chochote nakugundua......
NB:
Kuna binadamu ni abnormal creatures linapo kuja suala la matumizi ya vilevi wapo wanaweza kua HIGH na usigundue chochote wanatumia na hawazingui kitu chochote ni jambo la kushangaza sanaa.
Mkuu kwani ulalagi? Hapo inajustify vipi matumizi ya madawa ya kulevya wabongo mnashidaHaya kuna la kusema?!!View attachment 2749086
Wewe unaongea kama unatuhumuKaka sijamtuhumu mtu Ila nilikuwa nasema tu usidhani watu wanaokula dawa wote ni legelege unless wawe na alosto
Sijawahi kuyaamini maneno ya mbongo hasa mwanamke!!!!!Ktk kitu sikiwazi wal kuja kufanya ni kuingia huko kwny App yake anakopost upuuzi 24/7..mm naishia kwny page ya inst..
Haya sawa tumekusikia kaka kwa maoni yako..
Yaani kubabakee wabongo wachawi sana!! Kila ukijipindua hawa hapa! Mtu ukai kwa raha, muda wote wanakukera tuMkuu kwani ulalagi? Hapo inajustify vipi matumizi ya madawa ya kulevya wabongo mnashida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiDaaah