Ni kweli Dully Sykes alikuwa mtu wa Misifa au aliitwa Misifa kama jina la ziada?

Ni kweli Dully Sykes alikuwa mtu wa Misifa au aliitwa Misifa kama jina la ziada?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1775576653786.png
 
Ana misifa na kichwani ni mtupu
Hapana sikiliza Dhahabu ile ni creation yake na kuna creation nyingine nyingi tu amefanya sometimes hawa watu tusiwavunjie heshima hata km ni namna gani ila kuna burudani tuliipata kutoka kwao

Mr. Misifa aliitoa hicho kibwagizo baada ya kutoa wimbo unaitwa Hi! kitambo kidogo enzi hizo TV ni za chogo kipindi hicho hata Domondi hajawahi kuingia studio na kurekondi nyimbo yoyote hao wakina Dully ndio walikua Masupastar
 
Kwenye ile video yake ya "HI". Pale mwanzo anafika kwenye zebra anasimamisha kipikipiki chake mabinti wavuke. Halafu kabla hawajavuka anawasha LET'S GO anapita..

Kama sio misifa ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom