Ni kweli 'ejaculation' ya mara kwa mara inasaidia kuzuia tezi dume?

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Nimesikia eti 'kumwaga shahawa (ejaculate) kwa mwanaume mara kwa mara kunasaidia kupunguza uwezekano wa kupata tezi dume!

Je, ni kweli wataalam?
 
Habari yeyote yenye neno "eti" huwa ni yakutilia mashaka siku zote
 
Nimesikia eti 'kumwaga shahawa (ejaculate) kwa mwanaume mara kwa mara kunasaidia kupunguza uwezekano wa kupata tezi dume!

Je, ni kweli wataalam?

Wataalam wanasema hakuna njia ya moja kwa moja ya kuzuia. Ila kuna baadhi ya lifestyle ambazo wanahisi zinaweza kupunguza uwezakano kama vile, regular physical activity, avoiding eating too much red meat nk. Lakini njia ya guaranteed ni kuacha maisha ya dhambi. Dhambi ndio chanzo cha matatizo mengi ya mwanadamu. Yesu ndiye jibu
 
Mmmmnh
 
Back
Top Bottom