Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Nimesikia eti 'kumwaga shahawa (ejaculate) kwa mwanaume mara kwa mara kunasaidia kupunguza uwezekano wa kupata tezi dume!
Je, ni kweli wataalam?
Je, ni kweli wataalam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweli. Neno ETI linabeba ujumbe kwamba aliyesema hiyo habari si yule aliyeileta.Habari yeyote yenye neno "eti" huwa ni yakutilia mashaka siku zote
Nimesikia eti 'kumwaga shahawa (ejaculate) kwa mwanaume mara kwa mara kunasaidia kupunguza uwezekano wa kupata tezi dume!
Je, ni kweli wataalam?
MmmmnhWataalam wanasema hakuna njia ya moja kwa moja ya kuzuia. Ila kuna baadhi ya lifestyle ambazo wanahisi zinaweza kupunguza uwezakano kama vile, regular physical activity, avoiding eating too much red meat nk. Lakini njia ya guaranteed ni kuacha maisha ya dhambi. Dhambi ndio chanzo cha matatizo mengi ya mwanadamu. Yesu ndiye jibu