Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hata aisha manuraMbona hata Shishi Baby pia
Yule ni under 30!Ahaaah ahaaa namjua huyu kijana tangu akiwa mdogo,akikaa kijitonyama na kucheza mpira Chuo cha Ustawi wa jamii.
Ni kijana mdogo Ila kuwa U-23 hapana.
Si ndio hapo? Uyu jamaa atakuwa thimba!MBONA WEMA SEPETU BADO ANA MIAKA 23 NA HAIONGEZEKI NA JOKATE ANA 23 NA MDOGO WAKE 23 NA WOTE WAWILI WAME-PAUSE MIAKA YAO.HAIONGEZEKI