Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Nimesikia hata Kanye West anajilaumu kwa mama'ke kuwa kafara la mafanikio yake. Anajuta, eti aliingizwa mkenge na kina Kardashian.

mara nyingi watu wa karibu wakitangulia tunatafuta sababu za kujilaumu, kwamba tulisababisha vifo vyao.... kanye ndo atakua anapitia hali hii, binafsi siamini kama kuna utajiri wa kafara, mambo ya illuminati, freemasons naona ni uzushi tu....
 
Upo huru kuamini au kutokuamini chochote.

Si huyo tu, msikilize beyonce akimuongelea "Sasha Fierce", unamuelewa Sasha Fierce ni nani?

Mimi nilijua wewe ndio unaenda china na umeshamzidi maarifa kumbe ni watu wengine na sio wewe?
 
anadai kwamba huwa hajiamini akiwa mbele ya majukwaa ya watu hivyo akienda mahali kuperform anavaa uhusika mwingine, yaani anaigiza uchangamfu. huu uhusika ndo anauita sasha fierce....

sio ushirikina ni coping mechanism
Naona hujasoma kisa chake vizuri, umeisikiliza hiyo clip moja tu. Mtafute aliyekuwa mpiga drums wake kwa miaka 7, kwanini alimfukuza.

Uchawi upo, hakuna uchawi usiokuwa na kafara. Uchawi ni ushetàni, haonunaosikia wote majina illuminati, sijui nani au nani, vyote hivyo ni ushirikina.

Unakataa vitu vipo wazi kabisa.

Hivi huwa hamsikii viungo vya albino vinatafutwa. Ngozi za watu na mambo kama hayo? Mnafikiri ni utani ule au mtu inakuwaje mpaka mtu anapata ujasiri wa kuuwa albino apate viungo?

unafikiri ni mchezo wa kuiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…