Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Hapana brother, ujue maisha haya tunaishi na kuipigania furaha timilifu, kama mtu unafuraha katikati ya maumivu ya dhamiri bado hautakua imefanikiwa kupata kusudi la maisha ya kiumbe juu ya uso wa dunia.
 
Haraka haikatazwi , ila inategemea una speed katika nini na unafanya nini. Tunajua utajiri wowote nyuma lazima uwe na nguvu.. iwe kutoka gizani au nuruni.. hakuna maisha neutral
Hizi nchi za kusadikika ambazo gap ya kipato ni kubwa ndio kuna watu wanahangaika na utajiri kwa sababu ya dhiki walizonazo, ila first world kila anayefanya kazi anapata mahitaji yake ya msingi watu hawahangaiki na swala la utajiri.

Utajiri unawasumbuwa watu maskini ili waondokane na dhiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…