Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Shafii.Huyu si don shafii
Ni mtu mmoja huyo.Mbona wote warembo? Hakuna mwenye misuli
Hapana brother, ujue maisha haya tunaishi na kuipigania furaha timilifu, kama mtu unafuraha katikati ya maumivu ya dhamiri bado hautakua imefanikiwa kupata kusudi la maisha ya kiumbe juu ya uso wa dunia.Haya maisha yana siri kubwa, mwisho wa siku uamuzi ni wako, kama utaridhika na Toyota IST halali kwa jasho lako au unataka Toyota land cruiser V8 kwa pesa za damu zisizo na hatia? Tena siyo damu ya mtu baki ni damu ya mpendwa wako kabisa na huo siyo mwisho, kafara lazima ziendelee.
Ooh kumbeNi mtu mmoja huyo.
Ndio maana nimeweka Picha zake tofauti, yani usione mtu yuko hivyo ndio ukadhani amefanikiwa.Ooh kumbe
Ni yeye bhana yuko insta anajiita ivo don shafineyz ana kilinge mwanza anatoza watu 1m+ upate utajiri though wanamuita tapeliSiyo Shafii.
Wacha weee, endelea kudemuka tu.Jiunge basi..
Ila malai za jamaa na maisha yake mbona hata ukipambania kombe kwa njia za kawaida unatoka.. sijaona kitu cha ajabu kabisa hapo.. miaka mitano nyuma niliweza kuwa na vitu vyote hivyo amabvyo anavyo.
Inawezekana hana demu ila ana mume.Ndio maana nimeweka Picha zake tofauti, yani usione mtu yuko hivyo ndio ukadhani amefanikiwa.
Halafu huwezi kumuona na demu, sasa good time lote bila mrembo wa kukufanyia massage pembeni kuna raha gani?
Kudemuka ndio nini ?Wacha weee, endelea kudemuka tu.
Inawezekana ukipambana...ila ndo haitakiwi kua na haraka😌Jiunge basi..
Ila malai za jamaa na maisha yake mbona hata ukipambania kombe kwa njia za kawaida unatoka.. sijaona kitu cha ajabu kabisa hapo.. miaka mitano nyuma niliweza kuwa na vitu vyote hivyo amabvyo anavyo.
Haraka haikatazwi , ila inategemea una speed katika nini na unafanya nini. Tunajua utajiri wowote nyuma lazima uwe na nguvu.. iwe kutoka gizani au nuruni.. hakuna maisha neutralInawezekana ukipambana...ila ndo haitakiwi kua na haraka😌
Ngono Ni starehe za masikiniNdio maana nimeweka Picha zake tofauti, yani usione mtu yuko hivyo ndio ukadhani amefanikiwa.
Halafu huwezi kumuona na demu, sasa good time lote bila mrembo wa kukufanyia massage pembeni kuna raha gani?
Kwahiyo wewe ulifirisika au😃Haraka haikatazwi , ila inategemea una speed katika nini na unafanya nini. Tunajua utajiri wowote nyuma lazima uwe na nguvu.. iwe kutoka gizani au nuruni.. hakuna maisha neutral
Mie sijulikani hata kama nimefiriskia nimefulia, nimepiga hata sijui, ila hayo aliyopost kwenye picha ni ya kawaida, labda kama anamingine...Kwahiyo wewe ulifirisika au😃
Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?Mada ya kidada sana hii,
Hakuna utajiri ambao hauna umafia,endelea kukaa kwa bimkubwa mpaka akili ikukomae.
Rubbish.
Hapo sawa...basi endelea kupambana utapata tu tena🤗Mie sijulikani hata kama nimefiriskia nimefulia, nimepiga hata sijui, ila hayo aliyopost kwenye picha ni ya kawaida, labda kama anamingine...
Hizi nchi za kusadikika ambazo gap ya kipato ni kubwa ndio kuna watu wanahangaika na utajiri kwa sababu ya dhiki walizonazo, ila first world kila anayefanya kazi anapata mahitaji yake ya msingi watu hawahangaiki na swala la utajiri.Haraka haikatazwi , ila inategemea una speed katika nini na unafanya nini. Tunajua utajiri wowote nyuma lazima uwe na nguvu.. iwe kutoka gizani au nuruni.. hakuna maisha neutral