Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #61
Kwani mkuu hiyo Avatar yake haiwezi kukupa majibu ni mtu wa aina gani huyu.Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?
Upo sahihi kabisa.Hizi nchi za kusadikika ambazo gap ya kipato ni kubwa ndio kuna watu wanahangaika na utajiri kwa sababu ya dhiki walizonazo, ila first world kila anayefanya kazi anapata mahitaji yake ya msingi watu hawahangaiki na swala la utajiri.
Utajiri unawasumbuwa watu maskini ili waondokane na dhiki.
kupata tena nini 😅😅😅 nimesema miaka mitano nyuma.. baada ya hapo tuachane napo..Hapo sawa...basi endelea kupambana utapata tu tena🤗
HAya sawa😊😌kupata tena nini 😅😅😅 nimesema miaka mitano nyuma.. baada ya hapo tuachane napo..
😅😅😅😅 eeeh ndio ivyoo sasaHAya sawa😊😌
Kama naamini hapa...Hakuna utajiri ambao hauna umafia
Afu sijui.kitaulo? Ah mm hapana swaga hiziMbona wote warembo? Hakuna mwenye misuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwambaaaMbona wote warembo? Hakuna mwenye misuli
Brotherhood of Death ukijiunga Nyetto unaacha faster.uzi mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaaInawezekana hana demu ila ana mume.
Haibadili kua mada ya kidada na ya kijinga hii,hawa ndio mtu akifanikiwa hua wanasema sijui freemason,mara sijui makafara,mara wasema kuna Joka kubwa ndio linampa hela,ujinga ujinga mwingi tu.Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?
Na ndio ukwelii wenyewee.Kama naamini hapa...
Nimekwambia siyo yeye unalazimisha vipi, huyu Mimi namjuwa personal ndio maana sijaandika jina lake Nina makusudi ya kutokuandika jina lakeHuyo anaitwa Shafiz ze don dogo anatoa utajiri kwa anaetaka kuzijua Siri za dunia
Ukubwa wa mtu unapimwa kwa hekima yake na sio umri,kama ni kweli usemayo basi hao watu wako wana hasara kubwa sana,hua unajifanya kutukana sana watu humu,kwani wewe hao unaowajibu hovyo unawajua umri wao? Unajua post zao? Unajua wanaishi wapi?Kwani mkuu hiyo Avatar yake haiwezi kukupa majibu ni mtu wa aina gani huyu.
First born wangu anafanya Masters University, second born yupo high school, na wengine wapo secondary na nina extended family.
Kuna wakati humu watu wengine unawaangalia na kuwaacha kama walivyo.
Wewe tena? ni kama Samaki na maji, ukisikia habari za mitaro basi na wewe huko unapwita.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa
SijaonaSitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.
Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.
Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Hiyo Avatar yako tu inaongea mengi, am done with you.Ukubwa wa mtu unapimwa kwa hekima yake na sio umri,kama ni kweli usemayo basi hao watu wako wana hasara kubwa sana,hua unajifanya kutukana sana watu humu,kwani wewe hao unaowajibu hovyo unawajua umri wao? Unajua post zao? Unajua wanaishi wapi?
Umri wako na matusi unayowatukana watu humu haviendani kabisa,mtu huheshimiwa kwa anavyojijeshimu na anavyoheshimu wengine na sio kwa umri,
Acha kukariri coz hata Mimi hunijui.