Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?
Kwani mkuu hiyo Avatar yake haiwezi kukupa majibu ni mtu wa aina gani huyu.

First born wangu anafanya Masters University, second born yupo high school, na wengine wapo secondary na nina extended family.

Kuna wakati humu watu wengine unawaangalia na kuwaacha kama walivyo.
 
Hizi nchi za kusadikika ambazo gap ya kipato ni kubwa ndio kuna watu wanahangaika na utajiri kwa sababu ya dhiki walizonazo, ila first world kila anayefanya kazi anapata mahitaji yake ya msingi watu hawahangaiki na swala la utajiri.

Utajiri unawasumbuwa watu maskini ili waondokane na dhiki.
Upo sahihi kabisa.

Lakini mambo yanabadirika japo sio kwa kasi sana. Vijana ambao wanapata exposure mapema na wanao jiongeza kuna kitu wanafanya japo miiba mingi sana na jasho linatoka..

Na wale wanaoiga maisha ya mitandaoni na kujawa na tamaa ndio hao wanaingia mkenge.. mifano tunavijana kibao sinza tunawapoteza.. Hayo mambo yanayo endelea yanafata sana deception kwenye hizi social media.. vijana wanazama dm.. ndio inakuwa kwisha habari yao.. Nakumbuka miaka ya 2009-2012 nilitaka kuingia mkenge kwa hawa jamaa ila Mungu alikuwa upande wangu.. Tamaa ya maisha mbaya sana
 
Huyo mtu unaemwandikia hivi miaka ya 2000 aliondoka na passport ya Kaburu kutokea Cape Town kwenda UK leo 2023 unasema atoke kwa Bimkubwa?
Haibadili kua mada ya kidada na ya kijinga hii,hawa ndio mtu akifanikiwa hua wanasema sijui freemason,mara sijui makafara,mara wasema kuna Joka kubwa ndio linampa hela,ujinga ujinga mwingi tu.
 
Kwani mkuu hiyo Avatar yake haiwezi kukupa majibu ni mtu wa aina gani huyu.

First born wangu anafanya Masters University, second born yupo high school, na wengine wapo secondary na nina extended family.

Kuna wakati humu watu wengine unawaangalia na kuwaacha kama walivyo.
Ukubwa wa mtu unapimwa kwa hekima yake na sio umri,kama ni kweli usemayo basi hao watu wako wana hasara kubwa sana,hua unajifanya kutukana sana watu humu,kwani wewe hao unaowajibu hovyo unawajua umri wao? Unajua post zao? Unajua wanaishi wapi?

Umri wako na matusi unayowatukana watu humu haviendani kabisa,mtu huheshimiwa kwa anavyojijeshimu na anavyoheshimu wengine na sio kwa umri,
Acha kukariri coz hata Mimi hunijui.
 
Sitaki kuandika mengi, tutakwenda kwa lugha ya Picha tu, tuwe makini na watu, ukione Picha kama hizi usitamani haya maisha utapelekwa shimoni.

Nilikuwa na conversation ya kuboost biashara zangu na jamaa Fulani ambaye tumefahiana kama mwaka sasa, nikashauriwa nitambulishwe kwenye brotherhood, kwanza Mimi ukiniambia tu neno brotherhood moja kwa moja nakumbuka filamu ya Nigeria Billionaires club ya Pete Edochie na Madon wenzake.

Nina story ndefu na ya kweli ila nawashauri wote tupambane na umaskini tuvumilie shida zina mwisho Mungu atatufanyia wepesi, hawa jamaa mwisho wa siku huwa wanataka kafara ya damu.
Sijaona
1. Mercedes Benz Maybach GLS au S
2.Bentley flying spur
3. Rolls Royce phantom, Ghost au Cullinan
4. BMW 7 series etc

Hata Kama ni magari hayo siko tayari kutoa kafara

Wapuuzi wanatoa kafara ili Kununua makopo ya kijapan, shame on them
 
Ukubwa wa mtu unapimwa kwa hekima yake na sio umri,kama ni kweli usemayo basi hao watu wako wana hasara kubwa sana,hua unajifanya kutukana sana watu humu,kwani wewe hao unaowajibu hovyo unawajua umri wao? Unajua post zao? Unajua wanaishi wapi?

Umri wako na matusi unayowatukana watu humu haviendani kabisa,mtu huheshimiwa kwa anavyojijeshimu na anavyoheshimu wengine na sio kwa umri,
Acha kukariri coz hata Mimi hunijui.
Hiyo Avatar yako tu inaongea mengi, am done with you.
 
Back
Top Bottom