sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Yeye alikuwa anafanya nini kwenye ujana na akiwa na afya njema hadi ahitaji msaada? Hao akina mzabzab wanajisifia ngono humu ila akiumwa anataka tumchangie. Acha mbususu anazojitambia nazo zimchangie.Hana ndugu zake jamani
Msaada unapoomba sio lazima kusaidiwa na kupewa ni hiari
Kwanin msiwalaikie ndugu zake kwa kushindwa kumsaidia
Ni kweli msaada sio lazima, hata harmonize alisaidiwa na diamond japo baadae alimtukana sanaHana ndugu zake jamani
Msaada unapoomba sio lazima kusaidiwa na kupewa ni hiari
Kwanin msiwalaikie ndugu zake kwa kushindwa kumsaidia
Hapana hakuna aliesema alikuwa na haki ya kusaidiwa ila raia wanazidi kuelewa roho ya mmakonde ni ya namna gani. Btw aliombwa sh laki 5 tuSiku hizi msaada umekuwa haki yako, Mm nadhani kunyimwa msaada sio sababu ya kukasirika mana sio haki yako.
Naunga mkono hojaHana ndugu zake jamani
Msaada unapoomba sio lazima kusaidiwa na kupewa ni hiari
Kwanin msiwalaikie ndugu zake kwa kushindwa kumsaidia
Hao ndugu nao wasilaumiwe, kila mtu ajiangalie na maisha na mienendo yake.Hana ndugu zake jamani
Msaada unapoomba sio lazima kusaidiwa na kupewa ni hiari
Kwanin msiwalaikie ndugu zake kwa kushindwa kumsaidia
Yeye harmonize mbona alienda kuomba msaada kwa diamond hakujisimamia mpk alipopata alichotaka akaondoka kwa matusi na usalitiSema hii tabia ya kuwa omba omba ndo inaleta tabia ya uchawa, watu wajifunze kujisomamia,
Na ukiombwa ukanyimwa ridhika, sio lazima ulie
Classmate wako alikwama na kukwama hakunaga mwenyewe wengine hapa wanaongea mbwembwe usikute washakwama hata msosi wa mchana wanatembeza bakuli kwa SMSKama classmates alifanya kazi na konde, then akalipwa..... that's it man, what's the deal...🤷♂️
Wewe endekeza uchawa fainali uzeeniYeye harmonize mbona alienda kuomba msaada kwa diamond hakujisimamia mpk alipopata alichotaka akaondoka kwa matusi na usaliti
Somo:-View attachment 2940706View attachment 2940707
Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje.
Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa Harmonize kila pande ya nchi anapoenda lakini alipopatwa na ugonjwa alipotafutwa Harmonize kwa simu alisema hamjui na akatukana matusi mazito sana ya ndani ya nguo. Hata walipoendelea kuomba msaada kwa ajili ya matibabu aliwakataa.
Hii inaendeleza history ambayo si nzuri aliyonayo msanii huyu kwa watu anaofanya nao kazi. Amekuwa akiwageuka pindi wakipata matatizo.
Huu tuite ni usaliti au roho mbaya?