Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

Yeye harmonize mbona alienda kuomba msaada kwa diamond hakujisimamia mpk alipopata alichotaka akaondoka kwa matusi na usaliti
Alichofanya Harmonize kwa diamond ni biashara, ndio mana kulikuwa na mikataba na pesa from both side zikaflow, nambie hio issue unalinganisha na issue ya kuomba pesa za kutibiwa ? Sijui kula ?
 
Unapoomba msaada tegemea kupata au kutopata hata kama unayemuomba ana uwezo kiasi gani huu ndiyo ukweli ambao watu wengi hawautaki..
 
Kwani msaada ni haki yenu nyie waswahili..?
mkishamaliza kazi msijuane, kwani ndugu yako yule..?
Punguzeni shobo
 
Yeye harmonize mbona alienda kuomba msaada kwa diamond hakujisimamia mpk alipopata alichotaka akaondoka kwa matusi na usaliti
Sasa ukishamaliza kazi si unaondoka..?
Unataka akae anafanya nini..?
Kwani aliondoka bure pale..?
Nyie waswahili huwa mnadhani Msaada ni haki zenu masenge nyie
 
Kwani msaada ni lazima??
Vipi kama harmo hakua na hiyo hela??
Kwenye dili zao mzee hakulipwa??
Kama alilipwa basi biashara yao iliishia huko, harmo kusaidia ama kutosaidia sio kosa.
 
Hahaha!! Hana ndugu? Jitihada za ndugu ziko wapi?.
 
Huyu Jamaa ukimuona tu unajua kama alikuwa na maisha magumu.
 
kwani makubaliano yao ya kazi yalikuwaje? kwamba atatakiwa kumsaidia akipata changamoto au? maana kama umefanya kazi na mtu akakulipa mkamalizana sioni sababu ya kulazimisha akusimamie kwenye matatizo yako japo kwa moyo wa upendo tuwasaidiie wenye uhitaji
 
Ni kweli msaada sio lazima, hata harmonize alisaidiwa na diamond japo baadae alimtukana sana
Wewe mvaa hereni na bangili wa sinza huaminiki kabisa wewe uwezi kuongea uzuri kuhusu Harmonize…..! Hivi kweli kabisa mtu atukane kisa kaombwa msaada tena kwa aiba ya Harmonize huu ni uongo…😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom