Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

Ni kweli Harmonize alimsaliti Mzee wa Mjegeje?

Hata wewe ni mzee mjegeje ujaye maana utalie sana nasib akusaidie mpaka utakufa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huyo sinza pazuri mwenyewe anapigwa mjegeje nakubaliana na wewe ni mzee wa mjegeje ajayeโ€ฆ.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huyo sinza pazuri mwenyewe anapigwa mjegeje nakubaliana na wewe ni mzee wa mjegeje ajayeโ€ฆ.
Graduate wa amazon college campus ya buguruni huwezi kuwa na fikra za maana.
 
kwani makubaliano yao ya kazi yalikuwaje? kwamba atatakiwa kumsaidia akipata changamoto au? maana kama umefanya kazi na mtu akakulipa mkamalizana sioni sababu ya kulazimisha akusimamie kwenye matatizo yako japo kwa moyo wa upendo tuwasaidiie wenye uhitaji
Labda walifunga ndoa ya shida na raha
 
Back
Top Bottom