Ni kweli haya huko kwa jirani?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Alianza mwanasheria msomi,tunaambiwa ni majeruhi,akaja mzanzibari tukaambiwa mkorofi,sasa ni kiungo aliyeshindanishwa na mwamba wa Lusaka,wanajidai wako kimyaaa!Na za ndaani kabisa anafuta profesa.Kuna nini huko?

Nyota yeyote akitaka kucheza mpira,sehemu sahihi ni unyamani.
Huko kwa jirani ni suala la muda tu.Patalipukaaa!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wydad anakupa hii
 
Hivi Kwa performance yake ya Hivi karibuni unaweza kumtegemea kwenye mechi?
 
Bm3 ni majeruhi sio uongo
Aziz Ki yupo Avic Town pamoja na timu wakijiandaa na mechi inayofuata.
Kwa Nabi mtasubiri sana.
 
Tu assume hayo unayosema ni kweli , inakusaidia nini mbele ya Wydad?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Propaganda za kipumbavu haswa.
 
mbona bm33 ameshaanza kurecover tayar yupo avic town pamoja na key tembelea yanga app utaona acha maneno
 

April 16 mwisho wa ngonjera
 
Nilichogundua sisi mashabiki wa Yanga tunawafatilia sana watani zetu kisa wamepangiwa Wydad sisi huku shirikisho tumepewa dunduka wenzetu tuna chuki Kali sana na mtani kisa wapo Super League sijui ushamba utatuisha lini.
Tuzungumzie mechi yetu na Rivers mwakani tupambane ili nasisi tuimbwe tuwe Kati ya vilabu bingwa nane huku tulipo kwa maloser.Hii kuzungumzia Wydad tuache mara moja Simba wametuacha mbali Sana kimataifa.
 
wewe siyo shabiki wa yanga, acha uongo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…