mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Kamati ya mapokezi fanyeni maandalizi mapema ya kupokea wageni lakini hao waume zenu lazima wafie LupasoTujitahidi wananchi twende tukamsapot Wydad.
Kuna mtu anaenda kupasuka Lupaso.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya mapokezi fanyeni maandalizi mapema ya kupokea wageni lakini hao waume zenu lazima wafie LupasoTujitahidi wananchi twende tukamsapot Wydad.
Kuna mtu anaenda kupasuka Lupaso.
Wewe tunakuongeza kwenye kale ka kikundi ka watu wawili Mzee Manara na kikwete. Sasa mmekuwa watatu wenye akili huko utopoloniNilichogundua sisi mashabiki wa Yanga tunawafatilia sana watani zetu kisa wamepangiwa Wydad sisi huku shirikisho tumepewa dunduka wenzetu tuna chuki Kali sana na mtani kisa wapo Super League sijui ushamba utatuisha lini.
Tuzungumzie mechi yetu na Rivers mwakani tupambane ili nasisi tuimbwe tuwe Kati ya vilabu bingwa nane huku tulipo kwa maloser.Hii kuzungumzia Wydad tuache mara moja Simba wametuacha mbali Sana kimataifa.
Dude la kutishaEndelea kupiga domo tarehe 21 sio mbaliView attachment 2578004
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app