Ni kweli haya huko kwa jirani?

Ni kweli haya huko kwa jirani?

Tujitahidi wananchi twende tukamsapot Wydad.

Kuna mtu anaenda kupasuka Lupaso.
Kamati ya mapokezi fanyeni maandalizi mapema ya kupokea wageni lakini hao waume zenu lazima wafie Lupaso
 
Nilichogundua sisi mashabiki wa Yanga tunawafatilia sana watani zetu kisa wamepangiwa Wydad sisi huku shirikisho tumepewa dunduka wenzetu tuna chuki Kali sana na mtani kisa wapo Super League sijui ushamba utatuisha lini.
Tuzungumzie mechi yetu na Rivers mwakani tupambane ili nasisi tuimbwe tuwe Kati ya vilabu bingwa nane huku tulipo kwa maloser.Hii kuzungumzia Wydad tuache mara moja Simba wametuacha mbali Sana kimataifa.
Wewe tunakuongeza kwenye kale ka kikundi ka watu wawili Mzee Manara na kikwete. Sasa mmekuwa watatu wenye akili huko utopoloni
 
Back
Top Bottom