Nilichogundua sisi mashabiki wa Yanga tunawafatilia sana watani zetu kisa wamepangiwa Wydad sisi huku shirikisho tumepewa dunduka wenzetu tuna chuki Kali sana na mtani kisa wapo Super League sijui ushamba utatuisha lini.
Tuzungumzie mechi yetu na Rivers mwakani tupambane ili nasisi tuimbwe tuwe Kati ya vilabu bingwa nane huku tulipo kwa maloser.Hii kuzungumzia Wydad tuache mara moja Simba wametuacha mbali Sana kimataifa.