Kenya 2022 Ni kweli hii imetokea Kenya kwenye uchaguzi huu au ni ya kitambo?

Kenya 2022 General Election
Watu wanasifia process kuwa huru na ya uwazi, tabia zao binafsi waachie wao.
Kwa mfano Mwananchi kwa sasa anaweza kuhesabu mwenyewe kura za uraisi katika County(Jimbo) yoyote kutoka kwenye Portal ya IEBC na akapata picha juu ya mwenendo wa matokeo kabla ya kutangazwa rasmi, waandishi wa habari wamepewa access ya kufanya 'tallying' na kutoa provisional results ya sehemu yoyote. Kwa hatua hii wanapaswa kupongezwa.
 
Umehitimisha vema mkuu,na hili inathibitisha ni kiasi gani watu humu ni mazuzu, toa uzi kuwa una picha za uchi za Diamonds alipopiga video yake pale camps bay, utaona ni jinsi gani mazuzu humu watakavyoruka kutaka kuona hizo picha!
 
Kwa hili nawapongeza kwa kweli.Wako hatua nyingi sana mbele.
 
Umehitimisha vema mkuu,na hili inathibitisha ni kiasi gani watu humu ni mazuzu, toa uzi kuwa una picha za uchi za Diamonds alipopiga video yake pale camps bay, utaona ni jinsi gani mazuzu humu watakavyoruka kutaka kuona hizo picha!
Sidhani kama ni sahihi sana kuwaita wengine mazuzu.
Kwenye haya maisha kila mtu ana interest yake kutegemea na umri, hali hisia, mazingira nk!
 
Ndugu Lanlady nawe inawezekana ukawa na "interest" na picha za uchi za Daimondi Platinamz!!???
 
Kuna issue ya umri na mazingira.
Binafsi huyo ulimtaja hata simfuatilii kabisa. Ila inawezekana kuna vijana wadogo kwasababu ya umri na mazingira waliyopo wakashawishika kufanya mambo yasiyo sahihi.

Hatupaswi kuwaita mazuzu bali tunapaswa kuwasaidia kutambua madhara ya hicho wanachofanya
 
MACCM yamechachamaa kutafuta walau hata tukio moja tu la kufutia aibu kwa udhalimu ambao wao hufanya kwao huko.

Kawaida kwenye chaguzi zozote hata Marekani huwa hakukosi tukio moja moja hivi lililopinda, unfortunate situations, ila ukweli ni kwamba Kenya tunaendelea kuwa mfano wa kuigwa ukanda wote huu, nimeona Waganda, Wanyarwanda, Watanzania n.k. wanafuatilia kwa karibu sana, naendelea kuwarai ndugu zangu Wakenya tuendelee hivi hivi tudumishe amani, tuonyeshe ukomavu kwenye huu ushindani wa kidemokrasia, atakayeshinda atunukiwe urais tumpe ushirikiano kizalendo kwa ajili ya mustakabali bora wa nchi yetu.

Kila chama na vituo vya habari vimeruhusiwa kuhesabu kura zao, kila kitu kimewekwa wazi, ushindani ni mkali zaidi ya balaa hadi naona raha na fahari, hata mgombea wangu akishindwa jameni nitahisi poa tu maana tumeshindana vilivyo, hatua kwa hatua, mguu kwa mguu, bumper to bumper, maana kwamba hata mshindi atalazimika kufanya kazi kwa bidii maana ameshinda kwa mbinde.
 
Hiyo ndiyo raha ya kushinda kihalali. Hapa kwetu watu wanatangazwa washirindi kwa shuruti, matokeo yake wakiona wale waliowapora kura wanataka kuongea na wananchi hawataki. Kwa sasa CCM wanaona aibu ile mbaya, ingekua wana uwezo wangezima hata internet ili tusifuatilie hayo matokeo.
 
Maccm ni hovyo Sana!
 
Kuna issue ya umri na mazingira.
Binafsi huyo ulimtaja hata simfuatilii kabisa. Ila inawezekana kuna vijana wadogo kwasababu ya umri na mazingira waliyopo wakashawishika kufanya mambo yasiyo sahihi.

Hatupaswi kuwaita mazuzu bali tunapaswa kuwasaidia kutambua madhara ya hicho wanachofanya
Ndugu Lanlady , kumsaidia mtu wa namna hiyo ni pamoja na kumwambia ukweli kuwa huo ni uzuzu.
 
Back
Top Bottom