Mindset100
Member
- Jun 23, 2026
- 26
- 73
ok.🐒Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita
2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.
3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
4. Ongezea
Bwashee hiyo ardhi hata sisi haitutoshi ndio maana tumesambaa pote duniani kwa sababu nyumbani hapatoshikisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu
Mbona una argue kama si Great Thinker.Bwashee hiyo ardhi hata sisi haitutoshi ndio maana tumesambaa pote duniani kwa sababu nyumbani hapatoshi
Mfano Mimi ni kizazi Cha tatu kutoka kwa babu yangu ambaye alikua na watoto Tisa wa kiume na saba wa like na eneo lake lilikua na ukubwa wa hekari nne Kama na nusu hivi Hilo eneo likagawiwa kwa baba zetu ambao ndio hao Tisa baba zetu pia mwenye watoto wachache zaidi wa kiume ni baba yangu ambae tupo watoto watatu
Na sisi tumezaa mfano Mimi Nina watoto watano mdogo wangu ana wawili na huyo mwingine bado
Sasa kwenye mazingira Kama hayo unataka tukuuzie nini
Sasa uchagani familia nyingi ndio zipo hvyo so unaweza kuona eneo la wazi hata hekari mbili lakini ukichunguza Lina wamilili Kama saba hapo
Kuna watu bila kuwatafunia hawaelewi kabisa na mleta mada ni mmoja waoMbona una argue kama si Great Thinker.
Wewe useme tu, uchagani kuna tatizo la over population wakati ardhi nzuri haiongezeki.
Lindi imeachwa mbali sana na Mafinga au Mbinga. Lindi ukipiga mluzi mji wote wanakusikia3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
Lindi ipo nyuma sana kwa MafingaTanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita
2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.
3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
4. Ongezea
Kuna miji kama Kibondo na Kisarawe ipo tangu enzi za mkoloni lakini hakuna kabisa maendeleo hususani ya miundombinu.Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita
2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.
3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
4. Ongezea
Bila shaka hapo kwenye *** ulitaka kuandika (kuna) ila kwenye n ukaweka m.Hivi **** mkoa unanyanduana kama dar
Imenibidi nieditBila shaka hapo kwenye *** ulitaka kuandika (kuna) ila kwenye n ukaweka m.
Mbulu ilikuwepo kabla ya Arusha leo ipo vile vile 1800'sTanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita
2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.
3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
4. Ongezea
Ongesema tuu orodha ya miji iliyodumaa Tzn.Tanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita
2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.
3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
4. Kigoma ujiji
Ilipiga hatua tangu enzi ya mwarabu akaja mjerumani ikawa bado juu leo ilivyo huwezi amini yamebaki magofu mengiiiii.
5. Kilwa
Hii ilikuwa ni DSM ya Tanganyika kwa wakati huo na ndiyo mji wa kwanza bara kuwa na hela yao, leo kilwa iko palepale haisongi, nenda uliza tatizo nini? Imebaki historia nzuri ya kupendeza lakini yamebaki magofu yenye kusimuliwa vizuri kuliko Kilwa ya sasa.
6.Ongezea
Tanga imedumaa, leo Tanga fikiria imepitwa na Mbeya, Tanga paliendelea zamani sasa vitu vinakufa viwanda tele vimekuwa magofu kule gofuOngesema tuu orodha ya miji iliyodumaa Tzn.
Sina hakika kama Tanga imedumaa labda Mtwara ,Shinyanga na Bukoba