Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

Tanga imedumaa, leo Tanga fikiria imepitwa na Mbeya, Tanga paliendelea zamani sasa vitu vinakufa viwanda tele vimekuwa magofu kule gofu
Tanga ilishapitwa kitambo lakini hajadumaa.

Kama unamaanisha kupitwa Kwa watu sawa hat Kahama,Geita ,Bariadi, Sumbawanga yote imewapita labda ueleze imepitwa Kwa angle gani
 
Wilaya na Mikoa zote walikokuwa wanapita watumwa zote zimesinyaa kiuchumi, wanahitaji zindiko jipya ukute ni laana za mateso ya mababu zetu
 
Back
Top Bottom