Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Kulikua na shunguli gani kabla ya uhuru?Mbulu ilikuwepo kabla ya Arusha leo ipo vile vole 1800's
Kulikua na shunguli gani kabla ya uhuru?Mbulu ilikuwepo kabla ya Arusha leo ipo vile vole 1800's
Usitaje kbs, wewe kazi yako ni kusifia tu 📌ok.🐒
okey mfuata mkumboUsitaje kbs, wewe kazi yako ni kusifia tu 📌

Mbulu =Nairobi.. leo ni mbingu na ardhi.Mbulu ilikuwepo kabla ya Arusha leo ipo vile vile 1800's
Unahisi umekuwa mtoto wa kike?Ongesema tuu orodha ya miji iliyodumaa Tzn.
Sina hakika kama Tanga imedumaa labda Mtwara ,Shinyanga na Bukoba
fanya uwende tanga, hatutaki siasa za uwongo eti imepitwa na mbeya duuh, Kwa Tanga hii ya bandari, miradi ya mafuta, viwanda. Acheni kujifariji fanya safari ya tanga ukaone Mwenyewe mji umefunguka, miaka ijayo tutakuwa tukitegemea tanga iwe kitovu cha mapato ya nchi hii. Eacop na Refinery inatosha kabisa kuwa namba moja Kuchangia taifaTanga imedumaa, leo Tanga fikiria imepitwa na Mbeya, Tanga paliendelea zamani sasa vitu vinakufa viwanda tele vimekuwa magofu kule gofu
Hakuna Miji inayodumaa hapo sema ongezeko la watu ndio kidogoTanzania kuna miji iliendelea kabla ya mkoloni na leo ingekuwa mbali lakini ni kama haisogei maendeleo yake yaleyale inasonga kidogo japo nchi imepata uhuru ilikuwa juu.
1. Moshi
Huu mji ulianza kuendelea zamani sana, mkoloni alipaendeleza lakini hautanuki sana kisa wachaga na wapare ni wabinafsi hawauzi ardhi hivyo wageni wengi kujenga ni ishu. Japo mji wake si mbaya lakini haukui umepitwa na Mbeya iliyojengeka juzijuzi, Morogoro na tuendako hata Iringa itaipita
2. Tanga
Enzi ya wakoloni Tanga ulikuwa umeendelezwa kwa kila tuseme hiyo ndiyo ilikuwa Dar ya Tanzania si shule, reli na hata bandari yaani Tanga ilipendeza lakini ni kama hauendelei tatizo kubwa ushirikina na watu wake ni goigoi na mamwinyi wanawaza kinyanduana tu.😀 Na wananyanduana kweli yaani Tanga wanakopesha hadi nyapu.
3. Lindi
Ni mji mkongwe lakini kimaendeleo unaweza hata kulinganisha na miji ya Mafinga, Lushoto au Mbinga. Hauendelei yaani kuanzia population na kila kitu.
4. Kigoma ujiji
Ilipiga hatua tangu enzi ya mwarabu akaja mjerumani ikawa bado juu leo ilivyo huwezi amini yamebaki magofu mengiiiii.
5. Kilwa
Hii ilikuwa ni DSM ya Tanganyika kwa wakati huo na ndiyo mji wa kwanza bara kuwa na hela yao, leo kilwa iko palepale haisongi, nenda uliza tatizo nini? Imebaki historia nzuri ya kupendeza lakini yamebaki magofu yenye kusimuliwa vizuri kuliko Kilwa ya sasa.
6.Ongezea
Unanyanduana na mkoa gani?Hivi kuna mkoa unanyanduana kama dar
Shida ******* wengifanya uwende tanga, hatutaki siasa za uwongo eti imepitwa na mbeya duuh, Kwa Tanga hii ya bandari, miradi ya mafuta, viwanda. Acheni kujifariji fanya safari ya tanga ukaone Mwenyewe mji umefunguka, miaka ijayo tutakuwa tukitegemea tanga iwe kitovu cha mapato ya nchi hii. Eacop na Refinery inatosha kabisa kuwa namba moja Kuchangia taifa
Mkoa gani unakosa *******, hapo dsm ndipo makao makuu ya *******, Huna hoja kaa kwenuShida ******* wengi
Hayo maeneo ya wazi kwanini hawayaendelezi?Bwashee hiyo ardhi hata sisi haitutoshi ndio maana tumesambaa pote duniani kwa sababu nyumbani hapatoshi
Mfano Mimi ni kizazi Cha tatu kutoka kwa babu yangu ambaye alikua na watoto Tisa wa kiume na saba wa like na eneo lake lilikua na ukubwa wa hekari nne Kama na nusu hivi Hilo eneo likagawiwa kwa baba zetu ambao ndio hao Tisa baba zetu pia mwenye watoto wachache zaidi wa kiume ni baba yangu ambae tupo watoto watatu
Na sisi tumezaa mfano Mimi Nina watoto watano mdogo wangu ana wawili na huyo mwingine bado
Sasa kwenye mazingira Kama hayo unataka tukuuzie nini
Sasa uchagani familia nyingi ndio zipo hvyo so unaweza kuona eneo la wazi hata hekari mbili lakini ukichunguza Lina wamilili Kama saba hapo
Mbona Zanzibar lilipokuwa soko kuu kuna maeendeleo?Wilaya na Mikoa zote walikokuwa wanapita watumwa zote zimesinyaa kiuchumi, wanahitaji zindiko jipya ukute ni laana za mateso ya mababu zetu
Mikoa yote ya baraUnanyanduana na mkoa gani?
Mbona Zanzibar inaendelea, tena huko ndio walikuwa wanafunga watumwa mia kwenye kichumba kidogo cha kutosha mbuzi watano tuWilaya na Mikoa zote walikokuwa wanapita watumwa zote zimesinyaa kiuchumi, wanahitaji zindiko jipya ukute ni laana za mateso ya mababu zetu