ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Tanga ilishapitwa kitambo lakini hajadumaa.Tanga imedumaa, leo Tanga fikiria imepitwa na Mbeya, Tanga paliendelea zamani sasa vitu vinakufa viwanda tele vimekuwa magofu kule gofu
kunani paleeeee!Tanga imedumaa, leo Tanga fikiria imepitwa na Mbeya, Tanga paliendelea zamani sasa vitu vinakufa viwanda tele vimekuwa magofu kule gofu
🤣🤣🤣🤣🤣😂😁😀Kuna kamji kanaitwa Pangani, ukifika ukiambiwa hapa ndo mjini utashangaa!
Weeeeeee Kahama unazungumzia jiji kabisa compared na LindiLindi imepoa zaidi.
Mji wa Lindi ni makao makuu ya mkoa, lakini haiwezi kufikia mji wa Kahama na Mafinga.
Mji hauna shughuli nyingi za kiuchumi hivyo hata mzunguko wa pesa ni mdogo.
Sahihi.Wilaya na Mikoa zote walikokuwa wanapita watumwa zote zimesinyaa kiuchumi, wanahitaji zindiko jipya ukute ni laana za mateso ya mababu zetu
Nimecheka,eti ukimpiga mluzi mji wote wanakusikia😂Lindi imeachwa mbali sana na Mafinga au Mbinga. Lindi ukipiga mluzi mji wote wanakusikia
Mluzi wa jini sasa huo utakuwa!Lindi imeachwa mbali sana na Mafinga au Mbinga. Lindi ukipiga mluzi mji wote wanakusikia
Lindi pana ukubwa gani?Mluzi wa jini sasa huo utakuwa!
Ongesema tuu orodha ya miji iliyodumaa Tzn.
Sina hakika kama Tanga imedumaa labda Mtwara ,Shinyanga na Bukoba
Kwa kweli Musoma ina mang"ana mengi.Musoma
🤣🤣🤣Kuna kamji kanaitwa Pangani, ukifika ukiambiwa hapa ndo mjini utashangaa!