Ni kweli hii ndo orodha ya Miji iliyodumaa Tanzania?

Tanga imedumaa, leo Tanga fikiria imepitwa na Mbeya, Tanga paliendelea zamani sasa vitu vinakufa viwanda tele vimekuwa magofu kule gofu
fanya uwende tanga, hatutaki siasa za uwongo eti imepitwa na mbeya duuh, Kwa Tanga hii ya bandari, miradi ya mafuta, viwanda. Acheni kujifariji fanya safari ya tanga ukaone Mwenyewe mji umefunguka, miaka ijayo tutakuwa tukitegemea tanga iwe kitovu cha mapato ya nchi hii. Eacop na Refinery inatosha kabisa kuwa namba moja Kuchangia taifa
 
Hakuna Miji inayodumaa hapo sema ongezeko la watu ndio kidogo

Moshi
 
Shida ******* wengi
 
Mafinga huwez linganisha na Lindi. Mafinga pameiacha mbali Lindi.
 
Hayo maeneo ya wazi kwanini hawayaendelezi?
 
Wilaya na Mikoa zote walikokuwa wanapita watumwa zote zimesinyaa kiuchumi, wanahitaji zindiko jipya ukute ni laana za mateso ya mababu zetu
Mbona Zanzibar lilipokuwa soko kuu kuna maeendeleo?
 
Wilaya na Mikoa zote walikokuwa wanapita watumwa zote zimesinyaa kiuchumi, wanahitaji zindiko jipya ukute ni laana za mateso ya mababu zetu
Mbona Zanzibar inaendelea, tena huko ndio walikuwa wanafunga watumwa mia kwenye kichumba kidogo cha kutosha mbuzi watano tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…