Hata hao wajumbe ndo madalali namba one, af mujumbe lazima umlipe huwezi kumthurumu, Dar imakua ngumu vijana wasio kua na kazi wanao tegemea kupata rizki kupitia kwa nyumba za watu ni wengi imekua kero.Bila Dalali hupati Chumba sasa ubishi wa nini, mwambie afike nyumbani kwa Mjumbe wa nyumba 10 au aende ofisi ya Mtendaji atapata msaada bila ya KUHANGAIKA na madalali