INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Mwenyewe hapa dalali unataka nyumba wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu vingine haihitaji 'digilii' ya Vyuo kama hivi vinavyotunuku 'Udakitari' holela.🤣🤣🤣nakumbuka kuna siku nilitafuta chumba nikaelekezwa kwa mzee flani nikamkuta kibarazani, nikamuambia natafuta chumba nimeelekezwa kwako, akanimbia ahaa vyumba vipo hapa twende ndani,
Tukaingia getini akanionesha vyumba, nikaelewa kimoja, baada ya hapo nikamuuliza malipo vip?
Akaniambia samahani chumba ndio hicho lakini kukipata mpaka dalali, utampa hela ya usumbufu 10, na ya kodi ya Mwezi.
Nikamuambia mi nikajua we ndio mmilikii??
Akasema ndio, ila huo ndio utaratibuu..
Tukasumbuana sana pale hata ya kumpoza akagoma, nikawa mpole mana nyumba niliielewa..
Nikamwambia basi poa nipe namba ya huyo dalali niongee naye..
Unajua alichoniambia??
Eti "Dalali ndio mimi" .......
Khaaa.....
Nikaona kama huyu mzee analeta ukatunii, kumbe yupo serious bana,
Mimi nilijihisi au nimepata mawenge, Mzee akanikazia kweli, akaniambia hata huyo aliyekutuma kwangu amekutuma kama kwa dalali mana hajui hata kama nina chumba, na hata hapa pasingekufaa ningekutaftia kwingine.
Kumbe sasa Yeye ni dadali wa kitambo tuu anayejulikana, lakini pia ana chumba cha kupangisha kwenye nyumba yake ndio anataka akidalaliee
Lile picha mimi ndio sikuliewa nikasepa zangu.
Ni uzembe tu, mwenye nyumba akiamua anaitangaza atapata wateja tuWenye nyumba wengi huwapa madalali kazi za kutafuta wapangaji. Iwapo mwenye nyumba akapata mpangaji na kupangisha dalali atahisi amezungukwa na mwenyenyumba hivyo Ili kuboresha mahusiano ni lazima upitie Kwa madalali.
Iwapo atakubali na dalali akajua Mzee kapangisha, wanaambiana Mzee Fulani ni msaliti. Next time nyumba zake atafugia kuku maana hata pata wapangaji
Unataka Dalali akale wapi??Nina mdg wangu amemaliza masomo kaomba asirudi nyumbn aende Dar ili apambane, sio mbaya sababu ni mchakarikaji tukaona haina haja ya kumlazimisha kuja mkoa..
Nikamuambia kama ni hivyo basi atoke kwa ndugu, ana vitu vyake akapange, nitamsapoti kodi kwa mwanzoni,
Juzi tukapatana atafute chumba, Siku nzima bila, jana pia,
Leo namuuliza vip anasema vyumba vipo ila mpaka madali,
Nikamuona kama mzembe hivi, nikamuuliza unashindwa kuzunguka kuulizia? Akasema ndio amefanya hivyo ila kila anapobahatika kukuta chumba anaambiwa apitie kwa dalali.. nikamwambia Asiulize wapangaji amtafute mmiliki, akasema wanaomjibu hivyo wapo wamiliki piaa...
Na akaambiwa dalali atataka hela ya usumbufu na kodi ya kwanza.
Hii mimi haijaniingia akilini kbsa, naona dogo ashaanza uzembe, hata moyo umepungua..
Hii kitu ipo kweli?
Kwa logic gani? Yaani mmiliki wa nyumba na kodi yako, halafu unataka dalali nakati mteja kaja mpk mlangoni?
Faida yake ni nini?
FactsIpo hivyo mzee. Dar hata ukiulizia njia ya kufika mahali fulani unalipia.
Udadali ni kazi moja naioanaga kama ina laana hivi maana mwenyewe nishaifanya.
Hebu imagine unalima nyanya zako zinatoka fresh ukitaka kuvuna ili uuze bila dalali amini nakuambia zitakuozea 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakumbuka kuna siku nilitafuta chumba nikaelekezwa kwa mzee flani nikamkuta kibarazani, nikamuambia natafuta chumba nimeelekezwa kwako, akanimbia ahaa vyumba vipo hapa twende ndani,
Tukaingia getini akanionesha vyumba, nikaelewa kimoja, baada ya hapo nikamuuliza malipo vip?
Akaniambia samahani chumba ndio hicho lakini kukipata mpaka dalali, utampa hela ya usumbufu 10, na ya kodi ya Mwezi.
Nikamuambia mi nikajua we ndio mmilikii??
Akasema ndio, ila huo ndio utaratibuu..
Tukasumbuana sana pale hata ya kumpoza akagoma, nikawa mpole mana nyumba niliielewa..
Nikamwambia basi poa nipe namba ya huyo dalali niongee naye..
Unajua alichoniambia??
Eti "Dalali ndio mimi" .......
Khaaa.....
Nikaona mbona kama huyu mzee analeta ukatunii, kumbe yupo serious bana.
Nilijihisi nimepata mawenge, Mzee akanikazia kweli,
Akaniambia hata huyo aliyekutuma kwangu amekutuma kama kwa dalali mana hajui hata kama nina chumba, na hata hapa pasingekufaa ningekutaftia kwingine.
Kumbe sasa Yeye ni dadali wa kitambo tuu anayejulikana, lakini pia ana chumba cha kupangisha kwenye nyumba yake ndio anataka akidalaliee
Lile picha mimi ndio sikuliewa nikasepa zangu.
Ha haha ha yan nyumba yake bado anataka na cha udalali daaaa🤣🤣🤣nakumbuka kuna siku nilitafuta chumba nikaelekezwa kwa mzee flani nikamkuta kibarazani, nikamuambia natafuta chumba nimeelekezwa kwako, akanimbia ahaa vyumba vipo hapa twende ndani,
Tukaingia getini akanionesha vyumba, nikaelewa kimoja, baada ya hapo nikamuuliza malipo vip?
Akaniambia samahani chumba ndio hicho lakini kukipata mpaka dalali, utampa hela ya usumbufu 10, na ya kodi ya Mwezi.
Nikamuambia mi nikajua we ndio mmilikii??
Akasema ndio, ila huo ndio utaratibuu..
Tukasumbuana sana pale hata ya kumpoza akagoma, nikawa mpole mana nyumba niliielewa..
Nikamwambia basi poa nipe namba ya huyo dalali niongee naye..
Unajua alichoniambia??
Eti "Dalali ndio mimi" .......
Khaaa.....
Nikaona mbona kama huyu mzee analeta ukatunii, kumbe yupo serious bana.
Nilijihisi nimepata mawenge, Mzee akanikazia kweli,
Akaniambia hata huyo aliyekutuma kwangu amekutuma kama kwa dalali mana hajui hata kama nina chumba, na hata hapa pasingekufaa ningekutaftia kwingine.
Kumbe sasa Yeye ni dadali wa kitambo tuu anayejulikana, lakini pia ana chumba cha kupangisha kwenye nyumba yake ndio anataka akidalaliee
Lile picha mimi ndio sikuliewa nikasepa zangu.
ukiwa mgeni uwezi ukisha kuwa mwenyeji unapataNina mdogo wangu amemaliza masomo kaomba asirudi nyumbani aende Dar ili apambane, sio mbaya sababu ni mchakarikaji tukaona haina haja ya kumlazimisha kuja mkoa.
Nikamuambia kama ni hivyo basi atoke kwa ndugu, ana vitu vyake akapange, nitamsapoti kodi kwa mwanzoni,
Juzi tukapatana atafute chumba, Siku nzima bila, jana pia, leo namuuliza vipi anasema vyumba vipo ila mpaka madali, nikamuona kama mzembe hivi, nikamuuliza unashindwa kuzunguka kuulizia? Akasema ndio amefanya hivyo ila kila anapobahatika kukuta chumba anaambiwa apitie kwa dalali.. Nikamwambia asiulize wapangaji amtafute mmiliki, akasema wanaomjibu hivyo wapo wamiliki pia. Na akaambiwa dalali atataka hela ya usumbufu na kodi ya kwanza.
Hii mimi haijaniingia akilini kabisa, naona dogo ashaanza uzembe, hata moyo umepungua.
Hii kitu ipo kweli? Kwa logic gani? Yaani mmiliki wa nyumba na kodi yako, halafu unataka dalali wakati mteja kaja mpaka mlangoni? Faida yake ni nini?
...Ni Ujinga. Darisalama nisipate wapangaji? Yaani Nyumba nijenge Mimi yeye achukue Kodi ya Mwezi Mzima kama Ada yake? Lisa? Akili, Matope? Akalime huko...!Wenye nyumba wengi huwapa madalali kazi za kutafuta wapangaji. Iwapo mwenye nyumba akapata mpangaji na kupangisha dalali atahisi amezungukwa na mwenyenyumba hivyo Ili kuboresha mahusiano ni lazima upitie Kwa madalali.
Iwapo atakubali na dalali akajua Mzee kapangisha, wanaambiana Mzee Fulani ni msaliti. Next time nyumba zake atafugia kuku maana hata pata wapangaji
...Hizo connection ndio Udalali wenyewe!...Kuna muda mwingine inawezekana sana kupata bila dalali connection tu
...Shamba, Akalime!...Unataka Dalali akale wapi??
DuuhMadalali wanapendwa na wenye nyumba sababu wanaongeza kodi za nyumba kwa wamiliki, hebu fikiria mwenye nyumba anapangisha labda chumba labda 30K, Dalali analeta mteja chumba 45k au 50K, sasa kama ni wewe mwenye numba utakataaje madalali, Lakn pia inasemekama madalali ni washirikina akimpelela mteja kwenye niashara yoyote hachomoi lazima biashara ifanyike, kwa nini wamiliki wasiprefer madalali.
Nakumbuka 2009 nilikua nakaa temeke mtongani, kuna mzeemoja alikua anauza nyumba yake 60millions, dalali akaleta mwarabu wa 200millions yule mwarabu kama na mwanasheria wake kabisa, mzee kaitwa wafanye biashara kaja na vijana wake kucheki mkataba wa mauziano million 200, watoto wakakataa kuuza labda wapewe yote 200m wao,dalali akawaida pembeni yule mzee na vijana akabubali kuwapa 80m, vijana wakatakaa kabisa, dalali akasema hii kazi tuko wengi mpaka mganga bagamoyo anasubir pesa yake nyie vipi na inatakiwa ifanyike leoleo ilikua j4. Biashara ilishindikana dalali alimbembeleza mzee sana lakn vijanawake walichomoa. Sasa ile nyumba ilikuja kuuzwa 40millions tena kwa tabu sana na ipo kwenye barabara za mtaa, Hicho kitu kilinistaajabisha sana,