Hata hao wajumbe ndo madalali namba one, af mujumbe lazima umlipe huwezi kumthurumu, Dar imakua ngumu vijana wasio kua na kazi wanao tegemea kupata rizki kupitia kwa nyumba za watu ni wengi imekua kero.Bila Dalali hupati Chumba sasa ubishi wa nini, mwambie afike nyumbani kwa Mjumbe wa nyumba 10 au aende ofisi ya Mtendaji atapata msaada bila ya KUHANGAIKA na madalali
Wa Nyumba 10 10 ndio wapo huko kwenu Pemba hawapo?Wajumbe wa dar?
Ndio wanawajua,Hawa wanakua wanajua wenye vyumba?
Niko poaa, ila na wewe sikuhizi hua unaadimika humu sio?Mimi zaidi mno...
Unaendeleaje lakini?
Hapo nimekupataHana Hata Mwaka, alipomaliza chuo ndio akaenda.
Wajumbe wa dar ni binadamu wa hovyo kupita maelezo hasa hawa vibibi na mikoba yao ya ccm omba usimkute anachoma chapati halafu hana hela ya sukari nakwambia huchomoki bure.Wa Nyumba 10 10 ndio wapo huko kwenu Pemba hawapo?
Hapana wajumbe hawana gharama km madalali mjumbe ukimpa hata 5k anakushukuru inatosha, dalali km chumba ni laki basi na yeye anataka laki ya udalali km chumba ni 50k basi na yeye anataka 50k ya udalali umenielewa?Hata hao wajumbe ndo madalali namba one, af mujumbe lazima umlipe huwezi kumthurumu, Dar imakua ngumu vijana wasio kua na kazi wanao tegemea kupata rizki kupitia kwa nyumba za watu ni wengi imekua kero.
πππ Nenda kwa mjumbe na mtu anaefahamika na mjumbe usiende wewe km wewe km mjumbe hakufahamu maana ukienda mwenyewe utauliza maswali utashindwa kujibu, na aseme wewe ni ndugu yake una shida fulani unaomba kusaidiwa utasaidiwaWajumbe wa dar ni binadamu wa hovyo kupita maelezo hasa hawa vibibi na mikoba yao ya ccm omba usimkute anachoma chapati halafu hana hela ya sukari nakwambia huchomoki bure.
Kiasi chake Rafiki..Niko poaa, ila na wewe sikuhizi hua unaadimika humu sio?
Dar michongo mingi watu wanazuia hadi nguo? πKuna nguo niliona tu zinapostiwa Instagram,kila nikienda kariakoo nazikosa.Kuja kufuatilia nikaambiwa hizo bila Dalali/winga huzipati.....Nikaenda Mwanza kila duka pale Dampo unazikuta bila huo upuuzi.
Mpe dogo hela ya dalali ya mwezi mmoja. Iko hivyo. Bila hivyo atasaga sana lami. Bora kwa upande wa nyumba ila chumba sahau bila dalali. La! Ikatokea mpangaji mnajuana akakushtua siku fulani anabwaga ukakiwahi chumba.Hana Hata Mwaka, alipomaliza chuo ndio akaenda.
Kwa hiyo nani alikutafutia wateja? Ulitangaza mwenyewemimi nyumba yangu nilikataa madalali ukiletwa na dalali sikupangishi