Ni kweli huko Dar es Salaam huwezi kupata nyumba ya kupanga bila dalali?

Kuna vitu vingine haihitaji 'digilii' ya Vyuo kama hivi vinavyotunuku 'Udakitari' holela.
Hakuna cha bure Mjini,
Kujua wapi kuna nini nayo ni huduma na huduma nigharama.
Kama hutaki basi, zunguuka mwenyewe jiji Uijue Darisalama vizuri.
 
unapata sana vyumba bila dalali mimi mwenyewe kuna sehemu najua kuna chumba kinapangishwa ninaeweza kukconect bure ni pm namba yako baadae nikutumie namba ya mmiliki kama madalali bado hawajakiuza
si achagui eneo mradi dar
 
Kuna ujinga uliopo saizi Dsm,wenye nyumba hela ya udalali wanagawana nusu Kwa nusu
 
Ni uzembe tu, mwenye nyumba akiamua anaitangaza atapata wateja tu
 
Unataka Dalali akale wapi??
 
Facts
 
Hili ni jambo la hovyo sana,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ha haha ha yan nyumba yake bado anataka na cha udalali daaaa
 
ukiwa mgeni uwezi ukisha kuwa mwenyeji unapata
 
...Ni Ujinga. Darisalama nisipate wapangaji? Yaani Nyumba nijenge Mimi yeye achukue Kodi ya Mwezi Mzima kama Ada yake? Lisa? Akili, Matope? Akalime huko...!
 
Madalali wanapendwa na wenye nyumba sababu wanaongeza kodi za nyumba kwa wamiliki, hebu fikiria mwenye nyumba anapangisha labda chumba labda 30K, Dalali analeta mteja chumba 45k au 50K, sasa kama ni wewe mwenye numba utakataaje madalali, Lakn pia inasemekama madalali ni washirikina akimpelela mteja kwenye niashara yoyote hachomoi lazima biashara ifanyike, kwa nini wamiliki wasiprefer madalali.
Nakumbuka 2009 nilikua nakaa temeke mtongani, kuna mzeemoja alikua anauza nyumba yake 60millions, dalali akaleta mwarabu wa 200millions yule mwarabu kama na mwanasheria wake kabisa, mzee kaitwa wafanye biashara kaja na vijana wake kucheki mkataba wa mauziano million 200, watoto wakakataa kuuza labda wapewe yote 200m wao,dalali akawaida pembeni yule mzee na vijana akabubali kuwapa 80m, vijana wakatakaa kabisa, dalali akasema hii kazi tuko wengi mpaka mganga bagamoyo anasubir pesa yake nyie vipi na inatakiwa ifanyike leoleo ilikua j4. Biashara ilishindikana dalali alimbembeleza mzee sana lakn vijanawake walichomoa. Sasa ile nyumba ilikuja kuuzwa 40millions tena kwa tabu sana na ipo kwenye barabara za mtaa, Hicho kitu kilinistaajabisha sana,
 
Duuh
chain imeenda mpaka bagamoyo watu wabad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…