Ni kweli huyu msichana anaishi duniani?

njoo nkupe huyu
 
MATAKO siyo AKILI
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unafikiri wanakaa mwananyamala hawa
Ndio maana nasema bado hujawahi kuona wanawake wazuri.
Hebu check hawa warembo hapa, especially the first one. yaani damn! alafu linganisha na huyo wako unayehisi mrembo.
 
Ndio maana nasema bado hujawahi kuona wanawake wazuri.
Hebu check hawa warembo hapa, especially the first one. yaani damn! alafu linganisha na huyo below average.
Sasa Hao kwanza maisha yao na yetu Kuna daraja kubwa sana linalotutenganisha, kama hicho kihalfcast cha kwanza ni maisha ya juu wanaishi sisi watoto wa manzese na buza ndotype zetu
 
Kigoma wilaya ya Buhigwe, wamejaa wa namna hiyo tena wenye vichuguu zaidi ya huyo unayemsifia na chuchu utakuta ni saa sita kasolo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…