Ni kweli Iddy Amini Dada alikuwa anakula nyama za watu?

Ni kweli Iddy Amini Dada alikuwa anakula nyama za watu?

Ni Nyerere tu alikuwa anamchafua mwenzake. Tena pengine yeye ndiye alikuwa anakula nyama za watu. Maana alisema " Ukianza kula nyama za watu huachi." alijuaje?
 
Wwe lucha Ni mpumbavu na ni mjinga sna unamuita Bab wa taifa mnafiki mchonga meno wew Ni mpumabvu ni nitakudharau kuanzi leo Hadi mwisho shenzi sna Huna adabu umelelewa na wazazi wa hovyo sna na Huna heshima na utakuwa nayo duniani na mbinguni
HV ukiulizwa leo Bab wa taifa kafanya makosa yapi Hadi kuwa mnafiki utaongeaa nn
Nimekudharua sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mhm ngoja nisubiri bomu la lucha hapa
 
Ha ha. Majibu mengi yanaridhisha. Sio kweli alikula watu.

Idd Amin Dada. Aliye kuja kuwa mkombozi baada ya bakombozi.

Swali zuri.
Tafuta taarifa zingine, kama vile nani angepata kufaidika na Nduli kutwaa eneo lingine katika Ukanda wa Ziwa. Walikosa nini, Ardhi?

Kwa nini achafuliwe, je madai ya kuwa O.B.E yana ukweli? Vita baridi zilikuwa wapi? Yaani kulikuwa na mifarakanyo gani kati za nchi zilizounda Umoja wa Mataifa miaka hiyo 1968-1979 n.k
 
Ile ilikuwa scam. Umechelewa sana kushtuka. Hata sababu za Tanzania kuivamia Uganda zinazotolewa ni scam. Go beyond the mainstream you will realize the reality and not Truth.
 
Wwe lucha Ni mpumbavu na ni mjinga sna unamuita Bab wa taifa mnafiki mchonga meno wew Ni mpumabvu ni nitakudharau kuanzi leo Hadi mwisho shenzi sna Huna adabu umelelewa na wazazi wa hovyo sna na Huna heshima na utakuwa nayo duniani na mbinguni
HV ukiulizwa leo Bab wa taifa kafanya makosa yapi Hadi kuwa mnafiki utaongeaa nn
Nimekudharua sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Basi mkuu,msamehe tu.
 
Ni Nyerere tu alikuwa anamchafua mwenzake. Tena pengine yeye ndiye alikuwa anakula nyama za watu. Maana alisema " Ukianza kula nyama za watu huachi." alijuaje?
Itabidi tukupeleke Mirembe tukacheki km nati zako za kichwani zipo sawa.
 
Back
Top Bottom