Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha ila ndo hivo ndoa ya kumi yaja kweli kuolewa ni bahati mbayaSura imemjaa kama andazi lililozidishwa hamira
Wanaume bana kama vile hatuna akili eti yaani Wema nae bado anamnyima mtu usingizi, huyu huyu Wema Sepetu? Kila mwanaume akiwa staa anampitia.
Wacha niishie hapa TeamWema wasijekuniita majina ya ajabu ajabu kisa nimesema ukweli
Yani Dida kajaa kama Kiboko, haya matumizi mabaya ya rasilimali.Tz ukifanikiwa lazima unenepe, sijui gym huwa hawazioni?
Hahaha huyu malkia hata kaa asahau hii kitu watu walimuumbua kweli kwisha habari yake
Ngabu umenichekesha drama queenSiku ya wapendanao imekuja na kwenda zake.
Sasa sijui wiki hii kutakuwa na lipi....itakuwa imetoka...au itarudi?
Wataongezeka mapacha au mapacha watatu?
Au tutaonyeshwa picha za ultrasound?
Au mimba itakuwa ya Petit Man na siyo Idrisa?
Au labda si ya Petit Man wala Idrisa....bali ni ya mlinzi?
Yetu macho na masikio.
Sura nzitooooHahaha huyu malkia hata kaa asahau hii kitu watu walimuumbua kweli kwisha habari yake
Well said kakaYa ngoswe mwachie ngoswe...
Kama kuna ukweli Fulani Hivi pale katiiiiiiMAKE ME SING ndo habare ya town ao wanateka hisia za watu tu ngastuka machale kundesa!!!
This lady iiiiis tooooo faaaaaakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee khaaa...yote hayo ya nn...anataka tu kick yani mjini..keshachuja mi niliona tangu mwanzo ht love ilikua fake walipanga watu fool...wema anapotosha wajinga wengiYale makampuni yaliyofanya booking sijui vepe
hahahahaHili jambo mimi nasema tulipe muda,wale wanajua wanachokifanya.
Au lah....time will tell.
Usiamini habari yeyote isiothibitishwa ya Wema kutoka team Dimondo.
Wala usiamini umbeya juu ya dimondo kutoka team Wema...
Huyo mrekebishaji alishazusha Dai anatoka na Kajala.
Huwa wanachafuana tu.
Mtaona leo kwenye tamasha Wema na Eid Lisa na kitumbo chao.
Hahahaha dahHii mimba ya huyo binti imezua mambo kwa kweli.
Mara ipo....mara inapotea...hujakaa sawa imerudi tena....umejisahau kidogo unasikia imetoweka tena!
Ni mimba ya kipekee sana hiyo.
Nimeamua imetoka Dr manyaunyau amethibitishaThis lady iiiiis tooooo faaaaaakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee khaaa...yote hayo ya nn...anataka tu kick yani mjini..keshachuja mi niliona tangu mwanzo ht love ilikua fake walipanga watu fool...wema anapotosha wajinga wengi
Vipi mambo yali happen ha ha ha ha haHahaha wenzenu wana bonge la appearance wiki hii. Hii yote kujaza mashabiki tu. Sikiliza matangazo clouds. Hahaahahahha
nafurahi kukuona jukwaa la huku pia
Huyo mtu huwezi kumuona wiki nzima humu yupo kwenye majonzi ya mimba feki, wao wanaugulia zaidi ya huyo boss wao aliyefeki mimba ukimtaka kwa haraka nenda istagram sachi wemareplies ndo jina analolitumia huko ukamuone anavyolia.Mi nasubiri ubuyu kutoka kwa Nifah ndo nithibitishe.