Ni kweli Iran imeonewa lakini kushambulia nchi ambazo hazipo katika vita nae ni kuongeza maadui

TESRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
418
Reaction score
418
Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.

-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.

-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya Marekani iliyopo Turkey.

-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
 
Waarabu wameacha uislam wamevamia ukiristo wa magharibi.watapigwa sana waarabu
 
Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.

-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.

-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya Marekani iliyopo Turkey.

-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Guilty by association. Wewe huoni Marekani anavyoichagulia Venezuela marafiki? No urafiki na China, no urafiki na Cuba, etc!
 
Mkuu usiwafundishe kazi acha wafanye wanavyo weza maana walicho fanyiwa ni zaidi ya uchokozi tena usio kuwa na maana kabisa.

Kuhusu kushambulia mahotel jana kamanda mmoja alikuwa ana hojiwa kuhusu suala hilo akajibu kuwa baada ya Iran kuanza kuvishambulia vituo vya marekani waliamua kuwatoa wanajeshi wao na kuwapeleka mahotelini ndo hivyo wakaamua wawafuate huko huko.
 
Kijana.hao ni lazma wapigwe sababu.wameruhusu Kambi za marekani kukaa kwenye nchi yao..
Marekani hawezi kumpiga Iran akitokea marekani.
Na Iran hawezi kumpiga marekani akitokea hapo kwake kwenda marekani.sasa Ili kumpiga marekani inabidi apige Kambi zake.ndo ambazo zipo ndani ya hizo nchi.haikwepeki hyo
 
Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.

-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.

-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya ekani iliyopo Turkey.

-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Hajashambulia majirani. Bali kashalbu
Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.

-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.

-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya Marekani iliyopo Turkey.

-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Hajashambulia majirani. Yeye kashambulia base Za ulinzi za Marekani. Wao kuruhusu Marakeni aweke base Kwenye Nchi zao ili kumshughulikia Iran huo nao ni uchokozi na uchochezi. So kwangu mimi wamestahili
 
Angekuwa na manomu ya Nuckear angerusha kila nchi pale makombora yake yangekuwa yanauweza wa kuzifikia hizo nchi
 
Back
Top Bottom