Waarabu wameacha uislam wamevamia ukiristo wa magharibi.watapigwa sana waarabuToka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.
-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.
-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya Marekani iliyopo Turkey.
-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Guilty by association. Wewe huoni Marekani anavyoichagulia Venezuela marafiki? No urafiki na China, no urafiki na Cuba, etc!Toka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.
-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.
-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya Marekani iliyopo Turkey.
-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Kati ya wewe na Waarabu ni nani anaijua kwa undani zaidi hiyo dini ya mudi?Waarabu wameacha uislam wamevamia ukiristo wa magharibi.watapigwa sana waarabu
Hajashambulia majirani. Bali kashalbuToka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.
-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.
-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya ekani iliyopo Turkey.
-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Hajashambulia majirani. Yeye kashambulia base Za ulinzi za Marekani. Wao kuruhusu Marakeni aweke base Kwenye Nchi zao ili kumshughulikia Iran huo nao ni uchokozi na uchochezi. So kwangu mimi wamestahiliToka Iran ipoteze kiongozi wake mkuu wa nchi, imekuwa ikishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizo katika nchi za kiarabu kama vile Kuwait, Falme za Kiarabu na nchi zingine.
-Iran imeenda mbali na kushambulia kambi ya Uingereza iliyopo Cyprus, ambayo ipo mbali kabisa na mgogoro wa Iran.
-Iran kashambulia kambi ya Kijeshi ya Marekani iliyopo Turkey.
-Hitimisho, ni kweli Iran analinda taifa lake kwa kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo katika nchi tajwa hapo juu, lakini Iran imeenda mbali kushambulia majengo ya kibiashara, mahoteli pamoja na vituo vya kuzalisha mafuta na gesi katika nchi za Kuwait na Falme za Kiarabu.
-Mimi sio pro USA au Iran.
Wameonewa vipi, mbona Wairan wenyewe wamefurahi wanasherehekea?Ni kweli Iran imeonewa lakini kushambulia nchi ambazo hazipo katika vita nae ni kuongeza maadui
Irani ni HOMA YA DUNIA ILESoon atazabuliwa tu