Ni kweli Kabisa watoto wa ovyo wapo. Sirro Hajakosea

Kumekucha!

Binadamu wanapenda kupewa maneno laini, hawapendi ukweli, wanapenda sifa hata wasizozistahili.

Yapo Matoto ya hovyo,
Wapo wazazi wa hovyo bila kujali ni wanani,
Hayo Matoto yakikua ndio yanaleta kizazi cha hovyo hovyo,
Unakuta kiongozi hovyo,
Mchungaji hovyo,
Sheikhe Hovyo,
Mwananchi Hovyo.

Sijaona makosa katika kauli ya IGP Siro, ameongea ukweli mchungu sana.

Hata hivyo ukweli huo unagusa kundi kubwa la watu wa Zama hizi sio tuu tabaka la chini Bali pia hata tabaka la juu.

Kuna watu wanajifanya wanamsema na kumzingua igp Kwa kauli yake ya kusema watu wasizae mitoto ya hovyo ati kakosea, hakuna makosa hapo kimaadili.

Hakuna mtoto anayezaliwa akiwa wa hovyo, watoto wote Mungu amewaumba wakiwa wema, kila kitu Mungu alikiumba kikiwa chema. Isipokuwa mazingira ndio humgeuza mtu kuwa vile alivyo.

Mtoto amezaliwa akiwa Hana anachojua, mtu anazaliwa akiwa hana anachomiliki zaidi ya roho na mwili wake aliokuja nao ukiwa uchi.

Wazazi na jamii ndio humfanya mtoto awe qa hovyo au mwema.

Mzazi WA hovyo huzaa Matoto ya hovyo.
Jamii ya hovyo huzalisha Matoto ya hovyo
Hovyo! Hovyo hovyo!

Nikionaga Matoto ya hovyo, iwe ni kiongozi au mtu wa kawaida huwaga moja Kwa moja akili yangu inarejea Kwa wazazi na walezi WA mtoto husika.

Kuna watu wanasema Kwa kujitetea ati wachungaji au masheikhe wapo waliozaa Matoto ya hovyo, ni kweli kwa sababu baadhi ya hao wachungaji hujifanya watakatifu mbele za jamii lakini ukienda kwenye nyumba zao unakuta mambo ya hovyo kabisa.

Siku zote mwana wa nyoka ni nyoka. Iwe karithi Kwa Mama au Kwa Baba, iwe mi uzembe wa kimalezi uliosababishwa na Mama au Baba

Hakuna kisingizio linapokuja suala la Uovu au Uhalifu. Sijui ati toto limesomea boarding ndio maana limeweza kuharibikia huko, mbona wengine tumesomea huko na hatujaharibika.

Wengine wanajitetea kuwa kuwa mtoto akilelewa na Bibi au akiwa mbali na Baba na Mama anakuwa wa hovyo, Jambo ambalo sio kweli, wangapi wanelelewa na Bibi na wameishi pasipo wazazi lakini ni watoto wema.

Uovu hauna kisingizio, Uhalifu haunaga kisingizio,

Bungeni yapo Matoto ya hovyo,
Shuleni, hospitalini, mashirika, viwandani huko kote yapo Matoto ya hovyo.
Ndio maana Matoto hayo hayaoni ajabu kudhulumu na kuonea wengine.

Matoto ya hovyo yanasifa ZIFUATAZO;
1. Mabinafsi
Toto la hovyo linajijali lenyewe na familia yake. Unakuta linalipwa mamilioni ya Fedha, posho kibao lakini bado haliridhiki, linaiba na kudhulumu wengine, linataka kuongezewa Mshahara ati ili iliendeshe magari mazuri wakati kuna watu wanakojoa pesa ya Kula. Hili litakuwa toto la hovyo Sana.

Toto la hovyo ni binafsi mno, halioni shida kudhulumu uhai WA wengine kisa mambo yake binafsi Kama vile Cheo, mamlaka, uchumi, au masuala ya Kidini.

Ubinafsi ni Dalili ya Kwanza ya toto la hovyo.

Kwa bahati mbaya. Ni kuwa jamii ya kiafrika Matoto mengi ni yahovyo.

2. Uhalifu na kutenda madhambi pasipo kujali.
3. Kupenda kujitetea na kuutetea Uovu.

Toto la hovyo kinaweza kuwa mtu yeyote iwe mi Mimi, wewe au Yule.
.
Hovyo!! Hovyo! Hovyo

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
Kuzaa mtoto wa hovyo au kulea mtoto hovyo?
 
Sirro anahitaji kusaidiwa kazi kwa kutenguliwa akacheze na wajukuu na kulisha bata.
 
Na moja ya hayo matoto ya ovyo ni litoto lake
 
Duh
IMG-20210829-WA0002.jpg
 
"Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha mpaka atakapokuwa Mzee"

Hivyo ndivyo ilivyo.

Hayo mengine ni utetezi wa wazembe na watu wanaopenda kujitetea.

Ukiona Mtoto kaharibika ujue kuna uzembe wa mtu Fulani hapo. Hiyo IPO hivyo daima
Unazungumzia kuzaa au kulea? Hizi ni vitu mbili tofauti. IGP kasema tusizae Watoto wa hovyo, nikitaka nisizae mtoto wa hovyo inatakiwa mimba iingiieje?
 
na kwa sasa toto la ovyo kabisa linatokana na zao la CHADEMA, chama kinacho hamasisha toto la ovyo kuwa nunda.
Ukiwa na Baba tukutu lazima toto liwe NUNDA.
 
Kama kada wa CCM shujaa Hamza...
 
Umetega neno na kulenga palepale
Kuwa watoto wabaya wanatokana na jamii na serikali
Hawa ndio wanawalea sio wazazi
Wengine wako Jela wakisubiri hukumu kwa unyang’anyi na bunduki

Sio wazazi wa kuwalaumu bali ni serikali na jamii
Watoto wa tumbo moja wanazaliwa kila mmoja anakuwa na tabia zake

Huyu mzee kakosea kwa kauli zake za hasira kwani unaambiwa chunga kauli zako ukiwa umekasirika au nyamaza kabisa ni bora zaidi
 
Kumekucha!

Binadamu wanapenda kupewa maneno laini, hawapendi ukweli, wanapenda sifa hata wasizozistahili.

Yapo Matoto ya hovyo,
Wapo wazazi wa hovyo bila kujali ni wanani,
Hayo Matoto yakikua ndio yanaleta kizazi cha hovyo hovyo,
Unakuta kiongozi hovyo,
Mchungaji hovyo,
Sheikhe Hovyo,
Mwananchi Hovyo.

Sijaona makosa katika kauli ya IGP Siro, ameongea ukweli mchungu sana.

Hata hivyo ukweli huo unagusa kundi kubwa la watu wa Zama hizi sio tuu tabaka la chini Bali pia hata tabaka la juu.

Kuna watu wanajifanya wanamsema na kumzingua igp Kwa kauli yake ya kusema watu wasizae mitoto ya hovyo ati kakosea, hakuna makosa hapo kimaadili.

Hakuna mtoto anayezaliwa akiwa wa hovyo, watoto wote Mungu amewaumba wakiwa wema, kila kitu Mungu alikiumba kikiwa chema. Isipokuwa mazingira ndio humgeuza mtu kuwa vile alivyo.

Mtoto amezaliwa akiwa Hana anachojua, mtu anazaliwa akiwa hana anachomiliki zaidi ya roho na mwili wake aliokuja nao ukiwa uchi.

Wazazi na jamii ndio humfanya mtoto awe qa hovyo au mwema.

Mzazi WA hovyo huzaa Matoto ya hovyo.
Jamii ya hovyo huzalisha Matoto ya hovyo
Hovyo! Hovyo hovyo!

Nikionaga Matoto ya hovyo, iwe ni kiongozi au mtu wa kawaida huwaga moja Kwa moja akili yangu inarejea Kwa wazazi na walezi WA mtoto husika.

Kuna watu wanasema Kwa kujitetea ati wachungaji au masheikhe wapo waliozaa Matoto ya hovyo, ni kweli kwa sababu baadhi ya hao wachungaji hujifanya watakatifu mbele za jamii lakini ukienda kwenye nyumba zao unakuta mambo ya hovyo kabisa.

Siku zote mwana wa nyoka ni nyoka. Iwe karithi Kwa Mama au Kwa Baba, iwe mi uzembe wa kimalezi uliosababishwa na Mama au Baba

Hakuna kisingizio linapokuja suala la Uovu au Uhalifu. Sijui ati toto limesomea boarding ndio maana limeweza kuharibikia huko, mbona wengine tumesomea huko na hatujaharibika.

Wengine wanajitetea kuwa kuwa mtoto akilelewa na Bibi au akiwa mbali na Baba na Mama anakuwa wa hovyo, Jambo ambalo sio kweli, wangapi wanelelewa na Bibi na wameishi pasipo wazazi lakini ni watoto wema.

Uovu hauna kisingizio, Uhalifu haunaga kisingizio,

Bungeni yapo Matoto ya hovyo,
Shuleni, hospitalini, mashirika, viwandani huko kote yapo Matoto ya hovyo.
Ndio maana Matoto hayo hayaoni ajabu kudhulumu na kuonea wengine.

Matoto ya hovyo yanasifa ZIFUATAZO;
1. Mabinafsi
Toto la hovyo linajijali lenyewe na familia yake. Unakuta linalipwa mamilioni ya Fedha, posho kibao lakini bado haliridhiki, linaiba na kudhulumu wengine, linataka kuongezewa Mshahara ati ili iliendeshe magari mazuri wakati kuna watu wanakojoa pesa ya Kula. Hili litakuwa toto la hovyo Sana.

Toto la hovyo ni binafsi mno, halioni shida kudhulumu uhai WA wengine kisa mambo yake binafsi Kama vile Cheo, mamlaka, uchumi, au masuala ya Kidini.

Ubinafsi ni Dalili ya Kwanza ya toto la hovyo.

Kwa bahati mbaya. Ni kuwa jamii ya kiafrika Matoto mengi ni yahovyo.

2. Uhalifu na kutenda madhambi pasipo kujali.
3. Kupenda kujitetea na kuutetea Uovu.

Toto la hovyo kinaweza kuwa mtu yeyote iwe mi Mimi, wewe au Yule.
.
Hovyo!! Hovyo! Hovyo

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
Wewe mwenyewe kwenye ukoo wenu kuna watu wanakuona toto la hovyo tu halina msaada wowote
 
Mkuu ni kweli watoto wa hovyo wapo lakin huyu IGP ni mtu wa kuropoka Sana. hana hekima.

Siku zote hekima inamuongoza mtu, ajue ni nini ataongea, ni kwa Nan ataongea, ni kwa wakati gan ataongea. Na pia hekima umuongoza mtu kupima Kama Kuna madhara ya kile atakacho ongea.

Sasa huyu mwenzetu, umemsikiliza vizur lakin? Yaan anawashambilia wazaz na ndugu zake direct!! Mbona magereza zina wafungwa waliouwa? Mbona Kuna kesi nyingi za Askari wake kupiga risas askar wenzao? Hakutakiwa kuwalenga moja kwa moja.
 
Tuseme tu wazazi wajitahidi kulea watoto wao kwa kuwapa maadili mazuri katika mazingira rafiki. Hakuna anaezaa mtoto ovyo.
 
kumbe hujui, mfadhili wa Magaidi namba 1 nchini alisha mnunua ili kutekeleza uhalifu.
Kwanini amnunue kada wa CCM wakati ana mamilioni ya vijana Bavicha? Kuna hazina ya trained magaidi UVCCM, right?
 
kwa nini sasa aliwanunua kina
;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSAN KASEKWA.
3. MOHAMED ABDILLAHI LINGWENYA.
au alikuwa anataka uzoefu wao? au ?
 
Hakuna mzazi anayezaa mtoto wa hovyo. Kwa mfano viongozi wala rushwa hawakuzaliwa wala rushwa bali wamejifunza wenyewe rushwa baada ya kuwa watu wazima na hawakuwa chini ya uangalizi wa wazazi wao tena.
Sirro anayemtoto mvuta bangi, ni wa hovyo huwa anapiga hadi wateja kwenye baa ya babake Chanika
 
kwa nini sasa aliwanunua kina
;
1. HALFANI BWIRE HASSANI
2. ADAM HASSAN KASEKWA.
3. MOHAMED ABDILLAHI LINGWENYA.
au alikuwa anataka uzoefu wao? au ?
Hawa waliwaua polisisiem wangapi?
 
Back
Top Bottom