Ni kweli Kabisa watoto wa ovyo wapo. Sirro Hajakosea

Mleta uzi nakupongeza sana, Naomba mods huu Uzi muufanye wa kudumu maana una maonyo kwa Jamii. Ni kweli kule bungeni yapo matoto ya aina hiyo angalia hata mazazi yao ni hivyohivyo! Halafu yanapambana sana kupata uongozi wakati ni ya hovyo3.
 
Nchi hii mambo mengi ni yahovyo Kwa sababu viongozi wengi ni Matoto ya hovyo, ubinafsi hupelekea watu kuwa wahovyo
 
Mmoja ya watu wenye watoto wa hovyo hovyo hapa duniani ni huyo huyo simon sirro, awe anachunga ndimi zake kabla ya kufyatuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…