Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.
 
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Gundu, mikosi is not sexually transmitted.

Ifike sehemu muone aibu kuamini amini vitu vya kijinga.
 
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.

Kuna m/ke au me wanakuwa na magundu so ukishiriki naye ngono unapata nawe MIJANGA.
 
Lucky is attracted.

Hakuna mtu anazaliwa na hayo mamikosi na magundu halafu akawa anaambukiza wengine kwa njia ya ngono.

Lucky is when oportunity meets preparation.

Hakuna mkosi unakuja tu bila kutengenezwa.

Hata watoto wenye bahati mbaya ya kuzaliwa na magonjwa au kuzaliwa kwny familia masikini ni wazazi wao wameyatafuta hayo magonjwa na umasikini.

Ngumu kuelezea mtu aelewe vizuri, acha nifanye mambo mengine.
 
Lucky is attracted.

Hakuna mtu anazaliwa na hayo mamikosi na magundu halafu akawa anaambukiza wengine kwa njia ya ngono.

Lucky is like oportunity meets preparation.

Hakuna mkosi unakuja tu bila kutengenezwa.

Hata watoto wenye bahati mbaya ya kuzaliwa na magonjwa au kuzaliwa kwny familia masikini ni wazazi wao wameyatafuta hayo magonjwa na umasikini.

Ngumu kuelezea mtu aelewe vizuri, acha nifanye mambo mengine.
Sawa mkuu endelee kutembeza rungu ovyo ovyo kwa kila demu.
 
Sawa mkuu endelee kutembeza rungu ovyo ovyo kwa kila demu.
Siwezi kwa sababu nitapata magonjwa pia ni matumizi mabaya ya pesa.

Kitendo cha ngono ni gharama sana.

Fikiria, umtoe out mwanamke, umnunulie dinner, kisha anywe Saint Anna, baadae ukalipie lodge, kisha asubuhi umuachie kama 50,000.

Hapo laki mbili zimeisha, bado hajakuambia matatizo ya nyumbani kwake.

Ngono ni gharama, kama mtu anaweza anywe peke yake akalale.
 
Wanasema Kuna wanawake wanakua na rizik kwenye maisha ya mwanaume na Kuna wengine ni mikosi Hilo pia nimelisikia
Ni kweli mkuu,lkn neno mikosi liondoe hapo, maana liko kushirikina zaidi,,
Ni hivi kwa muislamu (sijui we uko dini gani na utaratibu wenu ukoje ukitaka kuoa), katika uislamu kachagua mchumba kuna mambo yakuangalia,kwanza mtarajiwa anatoka familia ipi ikoje kitabia,maradhi nk,pili wakoje kiimani?,,kama wametimiza vigezo utakavyo,unashauriwa kwenda zaidi kwenye imani (dini),,ivyo ukiangalia kusudi la haya yote nikuondokana na hayo ulosema hapo baadhi na mengine kuyapata kwakuwa yanamanufaa kwako na kwake,hivyo ni mhimu sana kuzingatiwa huo utaratibu.
Zinaa hapo haifai kujadiliwa,maana hata imani zote zinaikataa zinaa first of all,,haina haja yakujiuliza ati nikizini na mke fulani nitapata riziki,?,jua asilimia mia uwezi kupata hiyo riziki nk nk, naomba niishie hapo.
 
Back
Top Bottom