Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Nimecopy somewhere sababu nimeona uvivu kuandika.

Kufanya ngono kiholela kunaweza kuathiri maendeleo binafsi kwa njia zifuatazo:

Kupoteza muda muhimu: Kushiriki ngono kiholela mara kwa mara kunaweza kutumia muda ambao ungeweza kutumika kujifunza, kufanya kazi, au kukuza ujuzi wa kibinafsi unaosaidia maendeleo ya muda mrefu.

Kupungua kwa umakini: Tabia za ngono kiholela zinaweza kuvuruga uwezo wa mtu kuzingatia malengo yake muhimu, kwa sababu ya kujihusisha kupita kiasi na tamaa au masuala ya kihisia yanayohusiana na tabia hizo.

Kushuka kwa kiwango cha nidhamu: Ngono kiholela inaweza kusababisha mtu kupoteza nidhamu ya kujidhibiti, jambo ambalo linaweza kuathiri maeneo mengine ya maisha kama vile maamuzi ya kifedha, muda wa kazi, au kufuata ratiba binafsi.

Athari kwa afya ya mwili na akili: Magonjwa ya zinaa au matatizo ya kihisia yanayotokana na ngono kiholela yanaweza kupunguza nishati na motisha ya mtu kufanikisha maendeleo binafsi.

Kupoteza malengo ya maisha: Kutanguliza mahusiano ya muda mfupi ya kingono badala ya malengo ya maisha kama masomo, kazi, au biashara kunaweza kuathiri ustawi wa muda mrefu wa mtu binafsi.

Kukosa utulivu wa kihisia: Kujihusisha na ngono kiholela kunaweza kupelekea hisia za hatia, huzuni, au kutokuwa na utulivu, jambo ambalo linaathiri uwezo wa mtu kujiendeleza au kufanikisha ndoto zake.

Kupoteza fursa za maendeleo: Wakati mwingine, ngono kiholela inaweza kuharibu mahusiano ya kikazi au kielimu kwa sababu ya kuchanganya masuala ya kihisia na fursa zinazopaswa kuleta ukuaji wa kitaaluma au kibinafsi.

Ni muhimu kuzingatia maamuzi ya kingono yenye tija na yanayozingatia mipango ya muda mrefu ili kuimarisha maendeleo binafsi.
Nmekupata,.
Muhimu kuzingatia Celibacy mambo mengine yatajipanga yenyewe💯
 
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.

Trump analamba tu na kuzaa kbs na Elon na hawana hayo maenergy, haya utayasikia Africa tu! Ina maana hayo maroho yapo kwa weusi tu? Pathetic, tunapenda sana kujustify umaskini wetu kwa vitu vya kufikirika deile
 
Kabisa aura ndio Kila kitu kwakweli hata mwanamke kusoma aura yake binafs itamsaidia kujua namna ya Kuishi Kwa usafi na kudumisha tabia njema
Mhh mdogo akee hapa umeniacha dada ako...nidadavulie hyo Aura inafanyaje kazi
 
Ni kweli mkuu,lkn neno mikosi liondoe hapo, maana liko kushirikina zaidi,,
Ni hivi kwa muislamu (sijui we uko dini gani na utaratibu wenu ukoje ukitaka kuoa), katika uislamu kachagua mchumba kuna mambo yakuangalia,kwanza mtarajiwa anatoka familia ipi ikoje kitabia,maradhi nk,pili wakoje kiimani?,,kama wametimiza vigezo utakavyo,unashauriwa kwenda zaidi kwenye imani (dini),,ivyo ukiangalia kusudi la haya yote nikuondokana na hayo ulosema hapo baadhi na mengine kuyapata kwakuwa yanamanufaa kwako na kwake,hivyo ni mhimu sana kuzingatiwa huo utaratibu.
Zinaa hapo haifai kujadiliwa,maana hata imani zote zinaikataa zinaa first of all,,haina haja yakujiuliza ati nikizini na mke fulani nitapata riziki,?,jua asilimia mia uwezi kupata hiyo riziki nk nk, naomba niishie hapo.
Halafu unamlushia mapepo sio
 
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Imani inayotembea kwenye uhalisia
 
Ukilala na mwenye baraka na wewe unapata baraka au mikosi tu ndo inakua sexually transmitted? Naona mnachagua what fits your notion.
 
ngono holela ni nini, pls define, inategemea na kipato chako, kama income yako iko handsome, haiathiri maendeleo yako. nilifikiri concern iwe NGONO HOLELA inapelekea magojnwa km VVU na STDS zingine
 
Mfalme Solomon
King Mswati
Diamond
Na mimi hapa
Tumekula mbususu kibao na still bado yako OK..!
Mafanikio ni mindset yako tu.
 
Kama unaamini katika Mungu fuatisha maagizo yake, hao akina diamond hujui zaid kiundani kwann wanafanya hvyo, what if ndo kama ibada zao
 
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Nadharia za waafrica tuu hizo.
Wee gegeda tuu ndio raha ya dunia mwanawane
 
Back
Top Bottom