Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Hakuna kitu kama hicho. Kama hao unaofanya nao wanakuchuna pesa ndo tatizo. Ila kutiana haiathiri chochote kwenye ishu za pesa na mafanikio.
 
Sijawahi kujumuisha utamu na mapito yangu mkuu hiyo king ni mbingu na ardhi.
 
Yes IPO hivi

Sex au ngono IPO kiroho zaidi kuliko hata kimwili.

Kwa upande wa mwanaume inaweza kuleta madhara hasi au madhara chanya na kwa mwanamke vile vile.

Wapo baadhi ya wanawake wana nishati (Energy) zipo juu hao ukilala nao Kama ulikuwa chini waweza kuinuka

Pia na wapo wanawake ambao nishati zao zipo chini ukilala nao unaweza kushuka chini zaidi.

Je utamjuaje ambaye ana negative energy na mwenye positive energy .

Jaribu kuwa unasoma Aura zao once you meet with them.

Na kitaalamu sex au ngono ukiachana na madhara ya kiroho unashauriwa usiendekeze Sana .

Maana ukifanya Sana Ngono kujichua jaribu hata kujitazama katika kioo utaona jinsi unavyopoteza Nuru .
Hio Aura utaisomaje kujua mwanamke yupo juu au chini?
 
Yes IPO hivi

Sex au ngono IPO kiroho zaidi kuliko hata kimwili.

Kwa upande wa mwanaume inaweza kuleta madhara hasi au madhara chanya na kwa mwanamke vile vile.

Wapo baadhi ya wanawake wana nishati (Energy) zipo juu hao ukilala nao Kama ulikuwa chini waweza kuinuka

Pia na wapo wanawake ambao nishati zao zipo chini ukilala nao unaweza kushuka chini zaidi.

Je utamjuaje ambaye ana negative energy na mwenye positive energy .

Jaribu kuwa unasoma Aura zao once you meet with them.

Na kitaalamu sex au ngono ukiachana na madhara ya kiroho unashauriwa usiendekeze Sana .

Maana ukifanya Sana Ngono kujichua jaribu hata kujitazama katika kioo utaona jinsi unavyopoteza Nuru .
Kabisa aura ndio Kila kitu kwakweli hata mwanamke kusoma aura yake binafs itamsaidia kujua namna ya Kuishi Kwa usafi na kudumisha tabia njema
 
Kuna wale viumbe wanapenda kula ile energy ya kujichua, ni kama arosto ya bangi kwa teja. Au madawa ya kulevya sort of thing.

Unavyopiga nyeto unawalisha chakula vilivyo, wanashiba na kusaza huku wewe unabaki mtupu kama kopo, ndio maana unaona nuru yako inapotea maana imeliwa.

Hata ukitaka kuacha wanaingia kwenye akili yako kukuchagiza na kukushawishi ili waendelee kula.

Hata Ngono pia wanapenda kula nishati yake, it is a great source of food yaani tunawastawisha kweli kweli....
Madini adimu haya, anyway mjumbe hauwawi.
 
Lucky is attracted.

Hakuna mtu anazaliwa na hayo mamikosi na magundu halafu akawa anaambukiza wengine kwa njia ya ngono.

Lucky is when oportunity meets preparation.

Hakuna mkosi unakuja tu bila kutengenezwa.

Hata watoto wenye bahati mbaya ya kuzaliwa na magonjwa au kuzaliwa kwny familia masikini ni wazazi wao wameyatafuta hayo magonjwa na umasikini.

Ngumu kuelezea mtu aelewe vizuri, acha nifanye mambo mengine.
Umemaliza mkuu✅💯
 
Ibn Unuq katika kusoma umekutana na kitu kama icho
Ndiyo.

Falsafa nyingi nilizozisoma kama Stoicism [Ambayo ninaiishi] na hata maandiko ya kihistoria niliyobahatika kuyapitia Yamegusia athari za tamaa zisizodhibitiwa kimwili, kiakili au kihisia na jinsi zinavyoweza kuleta athari katika nyanja zote kiuchumi, kijamii na Kifamilia.

Kusimamia tamaa ni sehemu ya kuwa na maisha yenye malengo.
 
1 Wakorintho 6
18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
 
Ndiyo.

Falsafa nyingi nilizozisoma kama Stoicism [Ambayo ninaiishi] na hata maandiko ya kihistoria niliyobahatika kuyapitia Yamegusia athari za tamaa zisizodhibitiwa kimwili, kiakili au kihisia na jinsi zinavyoweza kuleta athari katika nyanja zote kiuchumi, kijamii na Kifamilia.

Kusimamia tamaa ni sehemu ya kuwa na maisha yenye malengo.
Izo athari ni zipi ? Ongeza nyama kidogo
 
Maisha yanavitu vingi ila kufanya mapenzi kunapofusha akili hata utendaji wa kazi mtu anae fanya mapenzi sana anakua mvivu na hayuko makini
 
Una hoja usikilizwe Ila laiti kMa Nyerere angejua miaka baadae 63 na mwez mmoja watu wangekuwa wanabomoana vnyeo asngepambania uhuru 🥶
Ngono ni mbaya sana natamani niache lakini nashindwa. MIHOGO NI MITAMU MNO 😋😋😋

Hatari ya ngono ni zaidi ya kuvaa mabomu ya kujitoa muhanga, utajizolea matakataka ya aina zote. Ni COCKTAIL ya mauchafu, yaani gundu, mikosi, laana, giza, mashetani nk.

Mnapokutana mnabadilishana nguvu za kiroho, kila mmoja anabeba vya mwenzake, hata mashetani yanahama kutoka pande zote.

Tena wale wenye MIHEMKO MIKALI ndio wabaya sana maana wanahamisha uchafu kisawasawa, unakuta majitu yanabomoana kama MAJEHU, wanatifuana haswaaaa, matokeo yake ni GUNDU PRO-MAX.

THE MORE THE MTIFUANO, THE MORE THE DIRT IS TRANSFERRED BETWEEN YOUR AURIC FIELDS.

Bora uwe na mtu mmoja au uache kabisa kutombana maana hata huyo mmoja kuna wakati anakuwa na mauchafu pia.

Cc: Lamomy Labella realMamy Kalpana Extrovert Bolotoba Intelligent businessman secretarybird mshamba_hachekwi Kijana masikini Dogoli kinyamkela Poor Brain Mbaga Jr Tlaatlaah
 
Hapa siongelei financially.

Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.

Namaanisha energy, namaanisha kiroho.

Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.

Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.

So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.

Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Ili kujuwa ukweli inabidi aulizwe Giggy Money na wasanii uchwara wenzake wa Bongo Movie, watujuze.
 
Ni kweli mkuu,lkn neno mikosi liondoe hapo, maana liko kushirikina zaidi,,
Ni hivi kwa muislamu (sijui we uko dini gani na utaratibu wenu ukoje ukitaka kuoa), katika uislamu kachagua mchumba kuna mambo yakuangalia,kwanza mtarajiwa anatoka familia ipi ikoje kitabia,maradhi nk,pili wakoje kiimani?,,kama wametimiza vigezo utakavyo,unashauriwa kwenda zaidi kwenye imani (dini),,ivyo ukiangalia kusudi la haya yote nikuondokana na hayo ulosema hapo baadhi na mengine kuyapata kwakuwa yanamanufaa kwako na kwake,hivyo ni mhimu sana kuzingatiwa huo utaratibu.
Zinaa hapo haifai kujadiliwa,maana hata imani zote zinaikataa zinaa first of all,,haina haja yakujiuliza ati nikizini na mke fulani nitapata riziki,?,jua asilimia mia uwezi kupata hiyo riziki nk nk, naomba niishie hapo.
Sasa kwanini masheikh wanapenda kufila na kufuga wasenge?
 
Izo athari ni zipi ? Ongeza nyama kidogo
Nimecopy somewhere sababu nimeona uvivu kuandika.

Kufanya ngono kiholela kunaweza kuathiri maendeleo binafsi kwa njia zifuatazo:

Kupoteza muda muhimu: Kushiriki ngono kiholela mara kwa mara kunaweza kutumia muda ambao ungeweza kutumika kujifunza, kufanya kazi, au kukuza ujuzi wa kibinafsi unaosaidia maendeleo ya muda mrefu.

Kupungua kwa umakini: Tabia za ngono kiholela zinaweza kuvuruga uwezo wa mtu kuzingatia malengo yake muhimu, kwa sababu ya kujihusisha kupita kiasi na tamaa au masuala ya kihisia yanayohusiana na tabia hizo.

Kushuka kwa kiwango cha nidhamu: Ngono kiholela inaweza kusababisha mtu kupoteza nidhamu ya kujidhibiti, jambo ambalo linaweza kuathiri maeneo mengine ya maisha kama vile maamuzi ya kifedha, muda wa kazi, au kufuata ratiba binafsi.

Athari kwa afya ya mwili na akili: Magonjwa ya zinaa au matatizo ya kihisia yanayotokana na ngono kiholela yanaweza kupunguza nishati na motisha ya mtu kufanikisha maendeleo binafsi.

Kupoteza malengo ya maisha: Kutanguliza mahusiano ya muda mfupi ya kingono badala ya malengo ya maisha kama masomo, kazi, au biashara kunaweza kuathiri ustawi wa muda mrefu wa mtu binafsi.

Kukosa utulivu wa kihisia: Kujihusisha na ngono kiholela kunaweza kupelekea hisia za hatia, huzuni, au kutokuwa na utulivu, jambo ambalo linaathiri uwezo wa mtu kujiendeleza au kufanikisha ndoto zake.

Kupoteza fursa za maendeleo: Wakati mwingine, ngono kiholela inaweza kuharibu mahusiano ya kikazi au kielimu kwa sababu ya kuchanganya masuala ya kihisia na fursa zinazopaswa kuleta ukuaji wa kitaaluma au kibinafsi.

Ni muhimu kuzingatia maamuzi ya kingono yenye tija na yanayozingatia mipango ya muda mrefu ili kuimarisha maendeleo binafsi.
 
Back
Top Bottom