Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Gundu, mikosi is not sexually transmitted.Hapa siongelei financially.
Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.
Namaanisha energy, namaanisha kiroho.
Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa bad energies fulani.
Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.
So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.
Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Nimeuliza mkuuGundu, mikosi is not sexually transmitted.
Ifike sehemu muone aibu kuamini amini vitu vya kijinga.
Kwa hio mkuu wanawake wa kizungu wana nyota saanaaa eti🤣🤣🤣Wanasema Kuna wanawake wanakua na rizik kwenye maisha ya mwanaume na Kuna wengine ni mikosi Hilo pia nimelisikia
Hapa siongelei financially.
Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama.
Namaanisha energy, namaanisha kiroho.
Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku ikisemwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wewe kuathirika kiroho or ki-energy pale unafanya sex na mwanamke /mwanaume ambae anakumbwa na msongo wa bad energies fulani.
Yani mna share nae energies zenu kupelekea kama unae lala nae akiwa muathirika wa mikosi/gundu sana inakufanya iweze ku-affect the whole experience ya nishati yako.
So unakuta hata maendeleo yako ya uchumi, mahusiano au aura yako vinashuka sana.
Tusaidieane wajuvi wa mambo.
Hizo mkuu ni imani potofu tu.Nimeuliza mkuu
Sija prove chochote.
DuhhhKuna m/ke au me wanakuwa na magundu so ukishiriki naye ngono unapata nawe MIJANGA.
Kuna m/ke au me wanakuwa na magundu so ukishiriki naye ngono unapata nawe MIJANGA.
Sawa sawa mkuuHizo mkuu ni imani potofu tu.
Ngono ina madhara ya kiafya na kiuchumi.
Huo ulimwengu wa roho sijui macho ya rohoni ni imani zisizokuwa na msingi wowote.
Unlucky.Magundu ndio mavitu gani?
Kumuelewesha muafrika ni kazi ngumu sana, acha nifanye mambo mengine.Wanasema Kuna wanawake wanakua na rizik kwenye maisha ya mwanaume na Kuna wengine ni mikosi Hilo pia nimelisikia
Lucky is attracted.Unlucky.
Sawa mkuu endelee kutembeza rungu ovyo ovyo kwa kila demu.Lucky is attracted.
Hakuna mtu anazaliwa na hayo mamikosi na magundu halafu akawa anaambukiza wengine kwa njia ya ngono.
Lucky is like oportunity meets preparation.
Hakuna mkosi unakuja tu bila kutengenezwa.
Hata watoto wenye bahati mbaya ya kuzaliwa na magonjwa au kuzaliwa kwny familia masikini ni wazazi wao wameyatafuta hayo magonjwa na umasikini.
Ngumu kuelezea mtu aelewe vizuri, acha nifanye mambo mengine.
Siwezi kwa sababu nitapata magonjwa pia ni matumizi mabaya ya pesa.Sawa mkuu endelee kutembeza rungu ovyo ovyo kwa kila demu.
Ni kweli mkuu,lkn neno mikosi liondoe hapo, maana liko kushirikina zaidi,,Wanasema Kuna wanawake wanakua na rizik kwenye maisha ya mwanaume na Kuna wengine ni mikosi Hilo pia nimelisikia