Ni kweli kujihusisha na ngono kiholela hushusha mwangaza wa maendeleo yako au ni myth?

Nmekupata,.
Muhimu kuzingatia Celibacy mambo mengine yatajipanga yenyewe💯
 

Trump analamba tu na kuzaa kbs na Elon na hawana hayo maenergy, haya utayasikia Africa tu! Ina maana hayo maroho yapo kwa weusi tu? Pathetic, tunapenda sana kujustify umaskini wetu kwa vitu vya kufikirika deile
 
Kabisa aura ndio Kila kitu kwakweli hata mwanamke kusoma aura yake binafs itamsaidia kujua namna ya Kuishi Kwa usafi na kudumisha tabia njema
Mhh mdogo akee hapa umeniacha dada ako...nidadavulie hyo Aura inafanyaje kazi
 
Halafu unamlushia mapepo sio
 
Imani inayotembea kwenye uhalisia
 
Ukilala na mwenye baraka na wewe unapata baraka au mikosi tu ndo inakua sexually transmitted? Naona mnachagua what fits your notion.
 
ngono holela ni nini, pls define, inategemea na kipato chako, kama income yako iko handsome, haiathiri maendeleo yako. nilifikiri concern iwe NGONO HOLELA inapelekea magojnwa km VVU na STDS zingine
 
Mfalme Solomon
King Mswati
Diamond
Na mimi hapa
Tumekula mbususu kibao na still bado yako OK..!
Mafanikio ni mindset yako tu.
 
Kama unaamini katika Mungu fuatisha maagizo yake, hao akina diamond hujui zaid kiundani kwann wanafanya hvyo, what if ndo kama ibada zao
 
Nadharia za waafrica tuu hizo.
Wee gegeda tuu ndio raha ya dunia mwanawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…